Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Naona metoka mafichoni mmeanza shobo zenu za kipuuzi, pigo lijalo ndo mwisho wenu
 
Mimi hawa upinzani nliacha kuwaamini kabisa walivyompitisha Lowasa kugombea Urais.
Sina imani nao kabisa kwa sasa maana kila jambo linalofanywa hata liwe jema wanapinga.
Upuuzi wao wa kutunga mambo ya uongo na kupakazia umezidi kujidhihirisha kwenye hii issue ya kusema JPM yupo mahututi.
Hata JPM anavyowafunga mdomo hakosei. Maana akiwaacha mtavuruga nchi kwa Ndimi zenu zilizojaa uongo na fitna.
God bless Tanzania, God bless our beloved President J Magufuli.
 
Syo uzushi aliumwa alipokuwa huko mtwara, ila ka recover
Mwanadamu kuumwa sio jambo la ajabu. Hata Kikwete alianguka pale Jangwani wakati anatafuta kura.

Kibaya ni kumzushia mtu kifo. Mkatubu tu sasa! Kifo kinaweza piga hodi popote hata nyimbani kwako.

Queen Esther
 
Nimejaribu tu kuwaza kiwendawazimu, maana hizi smart phone kwanza tumesha ambiwa kuwa ni 'simu janja'/zenye akili hivyo ni hatari sana kumilikiwa na mtu ambaye hana uwezo wa kuzitawala au kuzitumia akili zake. Pia simu hizi ni hatari zaidi ya bastora

Mkuu nakupongeza kwa uzi wako post namba moja, je unaweza kuonyesha post nyingine uliyoanzisha ww iliyokuwa na tija kama kutoa ajira na watu hawakujadili hivyo hawakuona hiyo fursa, au hata na ww ulikuwa kwenye hayo hayo yanayojadiliwa? Hao waliokuwa wanapotoshana umejua kwanini wameingia huko kama mazingira ni mazuri?
 
Nyie wapuuzi wa lumumba what goes around comes around , huyo kenge muuaji ameauthorize mauaji ya Watu wengi wasio na hatia na unyanyasaji kibao , halafu mnatoa Ushuzi humu eti tumuombee . Kwa lipi Jema ? . Fools
 
Mnafiki hajifichi uzi umepoti baada ya kugundua anaapisha watu, je asingeapisha leo akaapisha jtatu leo ungepost nini?
Account ya twiter ni ya ku creat confusion
 
Nimeona Zito kaanzisha uzi wa kuomba radhi, basi nimemshangaa sana.
Afadhali hata angesema akaunti yake ilikuwa imedukuliwa..teh
 
Bwana Zitto, aliyezua uvumi juu ya afya ya Rais ndiye mwenye kutakiwa kuweka sawa wananchi (kama ana mandate hiyo).
..
La sivyo kukaa kwake kimya tafsiri yake ni kwamba yupo sawa...
Kabisaaaa
 
Li nguruwe kabisa pimbi mkuwa kichaa. Kichwani umejaa mavi mavi badala ya ubongo. Mama yako aliingiziwa mavi ya kuku kukupata lijinga kabisa

Get out of here bitch , nimekwambie kamuulize mama Yako akwambie baba Yako alipo, daughter of a whore
 
Kaanzisha wapi boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Soma kwa umakili, na tazama paragraph ya tatu utaona alicho kiandika huyu mwanasiasa kijana
 
Bahati nzuri zaidi ni kwamba tangu uvumi huu umeanza hadi hii leo, niliamua kiwa kimya kabisa na kuto comment jambo lolote kwenye mtandao wowote ule wa kijamii.
Kuhusu kututimia mitandao kufanya yenye tija ujue tu kwamba mtandaoni yapo mengi nimesha yafanya na naendelea kuyafanya
 
We jamaa ni mnafiki mkubwa kabisa, posti zako kule Twitter sio za level ya kiongozi Mkuu wa chama, umejidhalilisha na kuaibisha chama unachokiongoza.
 
Namuomba raisi afanye kitu, asiwaache aisee!

Kama ni kuchukua hatua ameshachukua sana, nyingine za haki na nyingine za msukumo wa kiitikadi na hilo tunalifahamu. Hata akichukua hatua sasa bado itakuwa ni muendelezo huo huo wa uonevu kwakuwa yeye anaweza kufanya makosa na asichukuliwe hatua yoyote kutokana na katiba. Ila ujumbe wa msingi kwamba anavyowafanyia walio kinyume na itikadi yake liko wazi. Hivyo mtumie barua rasmi ili achukue hiyo hatua, ila ujumbe kwamba anatumia madaraka yake kuwafanyia uonevu wasio wa itakadi yake ujumbe huo umefika.
 
Huwezi lazimisha watu wakupende. Bora kajua ukweli na uhalisia ni muda wa yeye kuchagua abadilike au aendelee alivyo. Uamuzi ni wake
Namuomba raisi afanye kitu, asiwaache aisee!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…