Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Kuna mtu alisema hii ni test ya kumjua kigogo. Yaani wamelipika hili suala kisha wakawaambia watu wachache wanaowahisi ili kuona kama litafika kwa kigogo. Na limefika.

Soon anashikwa mtu.
 
Sifikiri kama ana haraka hio ya kuongoza malaika mbinguni.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Vizuri, aache sasa roho mbaya na visasi. Nadhani amejifunza ni namna gani Wananchi wake wengi wanavyomtakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatamfika. Akiendeleza kiburi shauli yake.
Wewe ni jinga Kama wajinga wengine tu..nimesema jinga na sio pumbaf..usije ukalia nimekutusi
 
Mnadhani huu utakuwa mwisho?! Naamini ataendelea ku report.
Kimkakati wamempunguzia followers, lakini bado hatoacha.
Kiinteligecia, njia hii huwa ni kumkamata mole.
Mna mfeed mashudu, halafu mnamuacha mnamuangalia how far he/she will go with it, mna eliminate source zake mna muacha ana hang, mwisho wa siku mnamtambua hasa yeye ni nani.

Niliwaambia baadhi humu, msishangilie mashambulizi, jipeni muda mshangilie magoli.

Lakini wapo walioamini kwamba wako sahihi kwa zaidi ya asilimia mia moja.
 
Kigogo ni rais wa watanzania wa mitandaoni JPM ni rais wa ikulu ya Magogoni.

Kichekesho ni kwamba kuna kundi kubwa la wasomi wanamuamini huyu mpumbavu.
Jomba unaacha kazi ya kumpikia mmeo unahangaika na waume za watu..unachekesha..kwanini usitafte mme mwingine kwani lazima huyu mzee
 
Ni upumbavu kujaribu kuzima moto kwa petrol eti nyumba yako isiendelee kuungua.
 
Binafsi nimemdharau sana Zitto siku ya leo na wala sitokuja kumchukulia serious tena.
Jomba wewe ndio unagundua leo umechelewa...yeye mwenyewe Zitto alishasemaga msimwamini mwanasiasa yoyote wa upinzani..umeshasahau...
 
Tumewajua wengi sana! Na vi comments vyao vya kinafiki hadi huko Instagram! Ila watu wanafiki sana! Chujio ...
 
Kumbe imewauma sana, musiba aliwaumiza watu wengi zaidi sikuona ukikemea
 
Shetani upo? Si nilikwambia nyinyi ni wa kushindwa tu. Haya sasa.

Ni kweli ni shetani ila simkuti jiwe. Nishindwe kwa lipi kwa mfano? Ujumbe wangu uko wazi kwamba huwa simuungi mkono dhalimu yoyote. Kwangu hili suala lilikuwa uzushi kama uzushi mwingine ila kwangu ilikuwa ni fursa ya kumuonyesha jiwe aache kutawala kwa ukandamizaji kwa ambao hawamsujidii. Hapo nimeshindwa kwa lipi?
 

Umeongea pumba yani kama k....... fulani. Hivi. Unatia kinyaa. So unreasonable.
 
Sio jamii, ni mashetani, mamlaka husika ndio ilikuwa na haki ya kutangaza iwapo anaumwa, mashetani mmezusha afu mnataka mamlaka iwajibu mashetani.

Tena ni bora hizo mamlaka hazikutoa taarifa mapema, ili hisia za watu dhidi ya jiwe zifike vizuri.
 
Zaweza pia kuwa techniques za kupima upepo pia ujipange vipi dhidi ya wapinzani wako au ujue jamii inakuchulia vipi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…