dumbi
JF-Expert Member
- Jan 15, 2018
- 988
- 1,542
Alisemaje ?Ndugu zitto unajulikana wewe ndiye kigogo 2014 , nakuhurumia sana future yako na kizazi chako Kwa ulichokifanya toka juzi
Pole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisemaje ?Ndugu zitto unajulikana wewe ndiye kigogo 2014 , nakuhurumia sana future yako na kizazi chako Kwa ulichokifanya toka juzi
Pole sana
mimi ntafurahi na jamaa zangu watapata vitoko viwili viwiliIla kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Hapo zito unafiki wake ni mini?Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Write your reply...RAIS MAGUFULI YUKO IMARA NA WIKI IJAYO MTAMUONA
Zitto wewe si ndio Kigogo,leo mnakwenda kuaibika.
Anajua ila Alichofanya na genge lake atajuta yeye na kizazi chake,Alisemaje ?
Mfuatilie tu post zake wiki hii utaona anavyohangaika kama kuku anataka kutaga...Hapo zito unafiki wake ni mini?
Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Ingia ikulu mawasiliano you tube anaapisha viongoz leo Mira huu
TBC hakuna chochote nimetune on TBC nimekutana na sura ya mzee WassiraKwa mlio karibu na TV mtatuambia, lakini ujumbe tarajiwa kuhusu wananchi wake umefika bila chenga, nadhani yeye binafsi na washauri wake watafanyia kazi duku duku za wananchi.
Hakuna binadamu ambae huwa haugui,ila kuzusha kifo ni nonsense.Aaibike kwa kipi? Labda kama Zitto anajistukia, lakini ujumbe umefika kwamba rais hawafanyii vizuri walio kinyume na itikadi na mitazamo yake, hivyo kwenye matatizo hawako naye. Ujumbe stahiki unapaswa kubaki kama ulivyo ili muhusika aweze kujitafakari. Hakuna haja ya Zitto kuwa mnafiki kwenye hili.
Ndugu Zitto Kabwe siasa za ujanja ujanja zimepitwa na wakati hoja yako ya msingi ilikuwa number tatu ni aibu kwako na sio kila jambo ulisemee ni aibu kwako nilikuwa nakuona ni mwanasiasa Makini lakini siku hizi nasema kwa sauti kubwa,Tanzania hakuna mwanasiasa kwa ajiri ya watanzania cha msingi kila mtu kupambana na hali yakeNimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Zito unafiki wako utakuuaNimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:

TBC hakuna chochote nimetune on TBC nimekutana na sura ya mzee Wassira
Mkuu hebu nisaidie alisemaje hawa wanaomshutumu naona wanamkandia tu ili tupime mizaniAaibike kwa kipi? Labda kama Zitto anajistukia, lakini ujumbe umefika kwamba rais hawafanyii vizuri walio kinyume na itikadi na mitazamo yake, hivyo kwenye matatizo hawako naye. Ujumbe stahiki unapaswa kubaki kama ulivyo ili muhusika aweze kujitafakari. Hakuna haja ya Zitto kuwa mnafiki kwenye hili.
Baada ya kuwa kati ya watu wamwanzo kabisa kutuma post za kuleta taharuki saivi ndio unakuja na kuomba radhi.Anyway asante kwa bandikoNimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema:
Mosi: Afya ya Rais wa nchi ni maslahi ya taifa na inapaswa kutofanyiwa soga. Afya ya Rais inahusika na maslahi ya nchi yetu ndani na nje. Tusiuendee uvumi huu kwa papara. Tuwe watulivu, tuipe nafasi Serikali na mamlaka zake zitupatie taarifa kamili na kwa wakati unaofaa.
Inawezekana kuwa katika hali hii ya sintofahamu baadhi yetu tumefanya mambo yanayotafsirika kuombea mabaya kutokea. Binafsi naomba radhi kwa tafsiri hizo hata kama haikuwa nia wala madhumuni.
Pili: Tuendeleze tunu yetu ya utu, umoja na mshikamano ambazo tumeachiwa na Mwalimu Nyerere ambaye tumetoka kuadhimisha miaka 20 ya kifo chake wiki iliyopita. Tusiruhusu chuki kuteka mijadala yetu. Chuki haiwezi kuwa jawabu la chuki. Utu ndio jawabu sahihi la chuki.
Tatu: Ni busara kwa Serikali kuwaondoa hofu wananchi juu ya uvumi huu maana kutofanya hivyo kunazua taharuki inayoweza kuepukika. Ikiwa kweli Rais wetu amepata dharura ya kiafya kama uvumi unavyosema basi haitakuwa mara ya kwanza kwa hilo kutokea nchini.
Watanzania ni waelewa na wenye mapenzi na wenye utu. Tumeona walivyowaombea marais wao Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete walipopata matatizo ya kiafya wakiwa madarakani. Naamini wataungana na kusimama pamoja kama taifa kumuombea Rais wetu na nchi yetu.
Zitto Kabwe, Mb
Kiongozi wa ACT Wazalendo
Kibingo, Mamlaka ya Mji Mdogo Mwandiga, Kigoma
20/10/2019
Hakuna binadamu ambae huwa haugui,ila kuzusha kifo ni nonsense.
Zito ni mnafki anayejulikana ila ukweli ni kwamba watanzania kwa asilimia kubwa ni wanafki.Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?