Zitto: Nimefuatilia uvumi na mjadala mtandaoni kuhusu afya ya Mheshimiwa Rais wetu. Nina matatu ya kusema...

Status
Not open for further replies.
Zitto wewe si ndio Kigogo,leo mnakwenda kuaibika.

Aaibike kwa kipi? Labda kama Zitto anajistukia, lakini ujumbe umefika kwamba rais hawafanyii vizuri walio kinyume na itikadi na mitazamo yake, hivyo kwenye matatizo hawako naye. Ujumbe stahiki unapaswa kubaki kama ulivyo ili muhusika aweze kujitafakari. Hakuna haja ya Zitto kuwa mnafiki kwenye hili.
 
Alisemaje ?
Anajua ila Alichofanya na genge lake atajuta yeye na kizazi chake,

Ameshaumbuka sasa anatafuta huruma ila kiufupi keshavuka msitari mwekundu hata aliokuwa nao wamemkimbia
 
Baada ya kuona yupo hai mmejitokeza faster kujihami[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa mlio karibu na TV mtatuambia, lakini ujumbe tarajiwa kuhusu wananchi wake umefika bila chenga, nadhani yeye binafsi na washauri wake watafanyia kazi duku duku za wananchi.
TBC hakuna chochote nimetune on TBC nimekutana na sura ya mzee Wassira
 
Hakuna binadamu ambae huwa haugui,ila kuzusha kifo ni nonsense.
 
Ndugu Zitto Kabwe siasa za ujanja ujanja zimepitwa na wakati hoja yako ya msingi ilikuwa number tatu ni aibu kwako na sio kila jambo ulisemee ni aibu kwako nilikuwa nakuona ni mwanasiasa Makini lakini siku hizi nasema kwa sauti kubwa,Tanzania hakuna mwanasiasa kwa ajiri ya watanzania cha msingi kila mtu kupambana na hali yake
 
Zito unafiki wako utakuua
 
Mkuu hebu nisaidie alisemaje hawa wanaomshutumu naona wanamkandia tu ili tupime mizani
 
Baada ya kuwa kati ya watu wamwanzo kabisa kutuma post za kuleta taharuki saivi ndio unakuja na kuomba radhi.Anyway asante kwa bandiko
 
Kuna watu wanafiki kweli hata aibu hawana. Hao hao ndio walikuwa wanasambaza uzushi na Kupost picha za Makamu wa raisi kwamba wakati wake umefika!
 
Ila kuna watu wanafiki sana na zito ni mmoja wao... hivi JPM akipatwa na mabaya wewe utafaidikaje?
Zito ni mnafki anayejulikana ila ukweli ni kwamba watanzania kwa asilimia kubwa ni wanafki.
 
Reactions: Oii
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…