"Turudi kwenye misingi. Polisi wajibu wenu ni huu, Jeshi wajibu wenu ni huu, Idara ya Usalama wajibu wenu ni huu. Siasa ni kazi ya wanasiasa. Wanasiasa wakifanya makosa mtawakamata, mtawashtaki kwa taratibu za kawaida. Msingilie siasa.
Sasa hivi kura ya mwananchi nyinyi wote hapa, wote hapa kura yenu thamani yake ni sifuri. Sifuri! Anayeamua, yaani leo sasa hivi anayeamua nani awe Mbunge, nani awe Diwani, nani awe Mwenyekiti wa mtaa ni DSO, Afisa Usalama wa Wilaya."