comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege.
Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na hatimaye taarifa ya awali ajali ya ndege ya precision air imejibu hoja hiyo.
Kwa kutumia ripoti hiyo ni dhahiri palikuwa na tahadhari zakutosha kuokoa watu zikianza na wahudumu na abiria wenyewe waliokuwa kwenye ndege. Ambazo pia zinaonyesha mapungufu.
Taarifa ya awali haionyeshi kama abiria walipewa maboya kabla ya kufunguliwa mlango ili wadumbikie ziwani- wangeponaje? Mpaka hapo bado majaliwa ndiye mwokozi aliyeokoa watu.