Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sawa kabisa, wote walishiriki hatukatai.Mlango upi wa marubani kwenye hiyo ndege? maana umekazana mlango labda mie ndio siuoni.
Kingine Majaliwa kweli alitaka kufa kwenye jitihada hizo ila hakuwa peke yake mitumbwi ilishafika na ikabeba watu maana hata Majaliwa na majeruhi wangekufa kama sio mitumbwi kuwasaidia!!
So Majaliwa ni shujaa kama wale wavuvi na air hostess na yule mchina walivyopambana kuokoa wenzao..nachopinga ni kumkuza huyo dogo kana kwamba Ali act alone!
Mkuu maadam umekiri wote wameshiriki basi tuhitimishe kusema Majaliwa ni shujaa kama ambavyo wavuvi na air hostess pia ni mashujaa.Uko sawa kabisa, wote walishiriki hatukatai.
Nami nikuulize hakuna tukio lifanyike bila kuwa na main character au STARLING.
Kuzima akisaidia uokozi anapata sifa ya kuwa kiongozi wa tukio.
Fuatilia IPO thread ikionyenya ndege za ATR zinavyoweza kufungua both sides, nje na ndani.
Naelewa mkizidiwa hoja mnakimbilia matusi. Unakuta unabishana na mtu hata tu fastjet hakuwahi panda ila anajifanya expert wa masuala ya anga!! Mnachekesha sana.Mkuu hiko kichwa kata ubadilishàne na mbwa mana Dah ni mpuuzi kiufupi
Naunga mkono hoja. Nini kinhetokea baada ya kufunguliwa mlango?Kwa wanaijua na waliowahi kusafari na ndege watakubaliana na ukweli kuwa milango ya ndege inaweza kufunguliwa na mtu akiwa ama nje ya ndege au ndani ya ndege.
Wahudumu wa ndege wamefundishwa kufanya kazi hiyo wakati wa kawaida, dharura na hatari. Kumekuwa na mabishano yasiyo na tija na hatimaye taarifa ya awali ajali ya ndege ya precision air imejibu hoja hiyo.
Kwa kutumia ripoti hiyo ni dhahiri palikuwa na tahadhari zakutosha kuokoa watu zikianza na wahudumu na abiria wenyewe waliokuwa kwenye ndege. Ambazo pia zinaonyesha mapungufu.
Taarifa ya awali haionyeshi kama abiria walipewa maboya kabla ya kufunguliwa mlango ili wadumbikie ziwani- wangeponaje? Mpaka hapo bado majaliwa ndiye mwokozi aliyeokoa watu.