comte
JF-Expert Member
- Dec 11, 2011
- 9,019
- 6,825
- Thread starter
- #41
Halafu wahudumu hao wawe mashujaaKama wasingekuwa wavuvi asingepona hata mmoja.
Boat ya uokoaji imefika baada ya masaa4 Mlango ulipofunguliwa abiria wangepaa???
Wahudumu wa ndege wenye Mafunzo wote walikimbia nje bila kutoa muongozo kwa wavuvi wawatoeje marubani, Majaliwa alienda kubomoa ili marubani watoke akakatazwa, hakuishia hapo alichukua kamba akafunga mlango wa rubani ili uvutwe na boat Bahati mbaya kamba ilikatika..
Wakati hayo yote yanafanyika Wahudumu wa ndege ambao wanajua nini cha kufanya ikitokea changamoto kama iyo, walidandia Mitumbwi kuokoa maisha yao na hawakuwa na muda tena na marubani.