Zitto sawa wahudumu walifungua mlango, je waliwapa abiria wao maboya?

Tz ina laana si bure! Wazamiaji wa jeshi la maji hawana oksijeni kwenye mitungi lakini bunge la wapumbavu wanapitisha kununua v8 moja mil 500! Hii ni akili au matope?
 
Inapotokea ajali loki za milango zinaachia automatically hivyo zinaweza kusukumea kwa nje au kwa ndani...mara nyingi inapotokea ajali watu wa ndani kqtika taharuki wanashindwa kufungua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mlango wa Rubani ndio upi huo? Kwamba ana mlango exclusive embu nionyeshe kwa ndege Ile mlango wa Rubani upo kwa wapi?

Tatizo waTanzania mna ujuaji mwingi sana, eti alikatazwa? Na nani wakati ushasema vikosi vilikuja vimechelewa sana.

Nakubali wavuvi walisaidia sana kuokoa Raia ila haya mambo ya sijui majaliwa, cjui kuvunja mlango kwa Kasia, mara mlango wa Rubani, ni propaganda Ili kuhamisha mjadala wa uzembe wa serikali
 
Hili pia unataka nikujibu????

Msikilize Majaliwa kwanzia dk 1:55

Wakati anayafanya hayo baadhi ya wafanyakazi wa ndege wenye utaalamu walikuwa hai, na hawakuonesha jitihada yoyote ya kuwaokoa marubani. Ila yeye asiye na skills za uokoaji alijaribu kadri ya uwezo wake.

Milango ya ATR 42 inavyofunguliwa
 
Rubish! Majaliwa alizimia (kwa mujibu wake). Sasa aliwaokoa namna gani? Wewe utakuwa ni Kibajaji wa bungeni bila shaka ndiye mjinga namna hii
 
Boya unachukua mwenyewe chini ya kiti, siyo mpaka eti upewe na mhudumu wa ndege. Huo muda wa kuzunguuka na kugawa maboya uko wapi wakati ndege ina dakika chache za kufloat na maji yanaingia kwa kasi?
 
Hivi wanapewa maboya na wahudumu au kila abiria amekalia boya lake chini ya kiti chake? Tuelekezeni nasi waendao kwa miguu tujue
 
Yaeza kuwa Kweli usemacho,

Bt Tuhoji Kwa HAKI, kama Majaliwa hakuenda kusaidia marubani Kwa kufunga KAMBA mlango iweje AZIMIE na kuokolewa na kujumuishwa na majeruhi?

Hivyo ni Kweli Majaliwa ataendelea kuwa shujaa, no matter what.

Huyo zito kabwe mbona Haongelei HUJUMA ya Umeme Rafiki yake MAKAMBA akiwa Waziri?
 
Kabisa mambo haya ni upumbavu mtupu...hili Taifa lina watu bogus kweli kweli...hebu fikiria mambo yanayolisibu Taifa kwa sasa ..watu wanajadili nani kafungua mlango..this is fucken stupid....
Hapanaa,tunataka taarifa hizi zikaye sawa,tusije onekana kituko kwamba wahandisi wa Tanzania wamethIbisha kUwa mlango wa dharura wa ndege ulifunguliwa na mwiko mkubwa wambao,
 
Hii nchi ya kifala kweli badala ya kujadili vitu vya muhimu tunacheza wa mziki wa serikali na issue ya mfungua mlango
Inashangaza Sana badala ya kujikita kwenye mijadala muhimu ikiwemo huduma mbovu ya vitengo vya dharura tumeishia kucheza ngoma za wakubwa wanaohamisha mjadala
 
Boya unachukua mwenyewe chini ya kiti, siyo mpaka eti upewe na mhudumu wa ndege. Huo muda wa kuzunguuka na kugawa maboya uko wapi wakati ndege ina dakika chache za kufloat na maji yanaingia kwa kasi?
Walichukua hayo maboya sasa au ndio wale ambao wakati wahudumu wa ndege wanatoa maelekezo ya namana ya kujiokoa wakati wa dharura wao huwa busy kupiga selfie- kama ndio hao na wakusikliza maelezo na kushindwa kuchukua tahadhari basi uzembe ulianzia mbali.
 
Inashangaza Sana badala ya kujikita kwenye mijadala muhimu ikiwemo huduma mbovu ya vitengo vya dharura tumeishia kucheza ngoma za wakubwa wanaohamisha mjadala
Napenda nikutaarifu kuwa toka mwaka 1948 ilikubarika kimataifa kuwa inapotokea ajali ya ndege lazima tukio lichunguzwe ili chanzo kibainike ili baadaye isaidie kufanya usafiri wa ndege kuwa salama zaidi- NA LENGO SIYO KULAAMU MTU YEYOTE kama wewe na wnaharakati wenzako mnavyojaribu kufanya
 
Sidhani kama ulishawahi kupanda ndege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…