Zitto: Serikali ya awamu ya Tano yatia fora kutofikia malengo ya Bajeti

Hivi kumbe ameshangilia? Nionyeshe wapi ameshangilia na Mimi nishangilie zaidi, maana nyie ndio mnaojikweza sasa mkiambiwa ukweli mnakua wakali.
 
Ondoeni huu UPUMBAVU wapinzani wenu wanayaonaga maanguko mapema wakiwashauri mnajifanyaga wajuaji likibuma mnataka tuwe wote jinga nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaandika unachokijua au unakurupuka tu ? TPA mapato yamepanda halafu unasema yameshuka ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki huna kumbukumbu kabisa.
Ubongo wako umeshambuliwa na virusi.
Ni mara ngapi zitto na wengine wameshauri kuhusu uchumi na uendeshaji wa nchi, na unakumbuka majibu ya mkuu wako?

Alisema hashauriki, na ukimshauri ndiyo umeharbu kabisa.
Sasa unaka Zitto amshauri ili azidi kututojemeza kusikojulikana?
Wewe ni nyani kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Zitto ushawahi fanya biashara yeyote mkuu?
Maana hoja hapa ni kwamba Serikali iongeze mbinyo kwenye makusanyo..... kitu ambacho kinawaumiza sana wafanyabiashara wa Kati
....
Siasa za uchumi ni nzuri lakini context ni muhim zaidi
Umesoma vizuri bandiko lazitto?
Wewe unaonekana toka primary ulikuwa mvivu wa kusoma na hii ilitokana na uelewa wako mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba hashauriki, yeye ndiye anayejua kila kitu na ndiye mwamzi wa mwisho. Ndg yangu Zitto una muonea bure muache anawe mkono kwa kutimiza wajibu wake!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani mataga huwa mnaongea kama mna funza kichwani.

Hivi nyinyi si ndio mlikuwa mnasema mnakusanya kodi mpaka mnavuka lengo?

Mlikuwa mnapenda kupika data wakati hesabu zimewapita kushoto.

Sasa mnataka ushauri gani?
 
Kuna sehemu umemuona akishangilia?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Si huwa tunaambiwa kila siku TRA imevuka malengo? Huwa ni malengo yapi inavuka? Huyu mzeee kahalibu sana nchi Raisi atakaye fuata atakuwa na kazi ngumu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida sio kuwabinya wafanya biashara, bali ni mazingira magumu yanafanya Investor wakimbia, mapato yataongezeka pale tutakapo kuwa na investor wa wengi kwa sasa hawapo na waliopo wengi anachechemea mapayo yao yameshuka, yameshuka kwa sababu Watanzania Purchasing power zao ziko chinj
Hivi Zitto ushawahi fanya biashara yeyote mkuu?
Maana hoja hapa ni kwamba Serikali iongeze mbinyo kwenye makusanyo..... kitu ambacho kinawaumiza sana wafanyabiashara wa Kati
....
Siasa za uchumi ni nzuri lakini context ni muhim zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnashaurika??
 
Yaani mataga huwa mnaongea kama mna funza kichwani.

Hivi nyinyi si ndio mlikuwa mnasema mnakusanya kodi mpaka mnavuka lengo?

Mlikuwa mnapenda kupika data wakati hesabu zimewapita kushoto.

Sasa mnataka ushauri gani?
Wanapenda nambawakati hawajui kuhesabu
 
Wewe hujui maana ya upinzani. Wapinzani lengo lao ni kukitoa chama tawala madarakani, kwa hiyo ni lazima upinzani uandike kushindwa kwa chama tawala ni wananchi waangalie mbadala. Sasa wewe unataka wapinzani wakisaidie chama tawala? Unaishi ulimwengu gani?
 
Uchambuzi wa zito una chumvi nyingi kuliko ukweli halisi, na mostly anawelanga watu wasioweza kusoma ripoti za CAG.

Ukweli kuwa serikali haikusanyi kodi ya kutosha kulingana na malengo yake ni kweli, lakini chumvi ni pale anapotaka kuaminisha watu kuwa hali hiyo imeanza mwaka 2015 baada ya serikali ya awamu ya tano kuingia madarakani. Mara nyingi serikali imekuwa inajiwekea malengo makubwa ambayo inashindwa kuyafikia. Swala kubwa ni namna ya kupanga malengo kuliko ukusuanyaji kwani ukiangalia namba, ni kwamba ukusanyaji umeongezeka kwa karibu 50% kama jedwali hili linavyoonyesha.
MwakaMalengo
(Trilion TShs)
Makusanyo
(Trilion TShs)
Upungufu
(Trilion TShs)
Asilimia ya
Upungufu
2009-20105.0284.6370.3917.776452
2010-20115.8495.550.2995.111985
2011-20126.4566.703-0.247-3.8259
2012-20138.4328.0520.384.506641
2013-201410.4129.2891.12310.78563
2014-201512.12110.321.80114.85851
2015-201613.36613.383-0.017-0.12719
2016-201715.10514.2710.8345.521351
2017-201817.31515.3861.92911.14063
2018-201918.2915.742.5513.94204
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…