GE2025 Zitto: Siendi kufanya uchawa ili nipendelewe, naenda kuwasemea ikibidi kufoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kutokuwa tayari kufanya vitendo vya kujipendekeza 'uchawa' bungeni ili apendelewe, badala yake ataendelea kupigania haki za wananchi wake kwa nguvu zote, ikibidi hata kwa kufoka.

Amesema hayo Septemba 20, 2025 wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Bangwe, Kigoma Mjini katika mkutano wake wa kampeni ambapo ameweka wazi kuwa wananchi wa eneo hilo wanahitaji kituo cha afya na yeye anafahamu vyanzo vya fedha vitakavyowezesha ujenzi wa kituo hicho mara baada ya kuingia bungeni.

“Nikifika bungeni sitakuwa mtu wa kuomba wala kufanya uchawa eti nipendelewe. Nitakwenda kuwasemea na ikibidi kufoka, maendeleo ni haki yetu. Nimefanya hivyo Kigoma Kaskazini kwa miaka 10. Nilipokuta hakuna hata kilomita moja ya barabara ya lami, niliacha zaidi ya kilomita 100 kutoka Mwandiga–Manyovu na Kigoma–Kidaho. Sikwenda kupiga makofi wala kufanya uchawa, nilikwenda kufoka na barabara zikajengwa,” ameongeza.

20250915_063439.jpg
 
Haendi kufanya Uchawa bungeni wakati tayari anaufanya sasa. It doesn't make any sense.
 
Mdada akishaanz kupost sana picha zake tayari ni jipu hilo. Mkulima na muuza nafaka aliye serious hawezi enda Instagrama kapost picha ya kujibinua tako.
Kwa hio maana yake anauza nini km sio nafaka?
 
Once bitten twice shy, you can’t be trusted dude. Uchawa wako kwa Kikwete hauwezi kuisha na ukizingatia huyo JK ni rais kiaina endeleeni tu tuifaidi keki ya taifa.
ACT = CHAUMA
Jumuia za CCM.
 
Huyu jamaa anastahili kupigwa mawe popote pale anapopita.

.... alituhadaa watanzania kwamba nimpenda haki na anachukia ufisadi kipindi cha magufuli, kumbe alikuwa na chuki zake binafsi, sasa hiv amegeuka kuwa chawa wa serikali dhalimu kuliko zote kuwahi kutokea hapa nchini.
 
Back
Top Bottom