GE2025 Zitto: Siendi kufanya uchawa ili nipendelewe, naenda kuwasemea ikibidi kufoka

GE2025 Zitto: Siendi kufanya uchawa ili nipendelewe, naenda kuwasemea ikibidi kufoka

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Zitto huwa hazungumzii chochote kuhusu jimbo analoliwakilisha huko bungeni badala yake anazungumzia mambo ya kitaifa tu!!
Hana tofauti na Kishimba aliyepigwa chini!! Hakuwahi kuzungumzia jimbo lake japo anaongea point wakati mwingine!!

Kigoma Mjini wampe yeyote atayewawakilisha vyema bungeni!!
 
Back
Top Bottom