Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Sawa sawa mkuuZitto ni kiongozi makini
Dogo inakuwaje? Cheki toto hapo chini. Nembo mpya ya taifa letu badala ya twiga.Muongo
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameahidi kutokuwa tayari kufanya vitendo vya kujipendekeza 'uchawa' bungeni ili apendelewe, badala yake ataendelea kupigania haki za wananchi wake kwa nguvu zote, ikibidi hata kwa kufoka.
Amesema hayo Septemba 20, 2025 wakati akizungumza na wakazi wa Kata ya Bangwe, Kigoma Mjini katika mkutano wake wa kampeni ambapo ameweka wazi kuwa wananchi wa eneo hilo wanahitaji kituo cha afya na yeye anafahamu vyanzo vya fedha vitakavyowezesha ujenzi wa kituo hicho mara baada ya kuingia bungeni.
“Nikifika bungeni sitakuwa mtu wa kuomba wala kufanya uchawa eti nipendelewe. Nitakwenda kuwasemea na ikibidi kufoka, maendeleo ni haki yetu. Nimefanya hivyo Kigoma Kaskazini kwa miaka 10. Nilipokuta hakuna hata kilomita moja ya barabara ya lami, niliacha zaidi ya kilomita 100 kutoka Mwandiga–Manyovu na Kigoma–Kidaho. Sikwenda kupiga makofi wala kufanya uchawa, nilikwenda kufoka na barabara zikajengwa,” ameongeza.
Niliona mtoto wa Kikwete ka-like picha zake nikajisemea hii vita sasa imeshakuwa kubwa niwaachie wenye nguvu. Mtoto ni mkali balaa ila hawezi kukwepa mitego ya mafisadi wa mapenzi na ngono.Dogo inakuwaje? Cheki toto hapo chini. Nembo mpya ya taifa letu badala ya twiga.
View attachment 3476923
MamaSamia2025
Hahaha itakuwa amenunua tani kadhaa za nafaka.Niliona mtoto wa Kikwete ka-like picha zake nikajisemea hii vita sasa imeshakuwa kubwa niwaachie wenye nguvu. Mtoto ni mkali balaa ila hawezi kukwepa mitego ya mafisadi wa mapenzi na ngono.
Mdada akishaanz kupost sana picha zake tayari ni jipu hilo. Mkulima na muuza nafaka aliye serious hawezi enda Instagrama kapost picha ya kujibinua tako.Hahaha itakuwa amenunua tani kadhaa za nafaka.
Hivi emoj za kucheka wamefuta au?Dogo inakuwaje? Cheki toto hapo chini. Nembo mpya ya taifa letu badala ya twiga.
View attachment 3476923
MamaSamia2025
Kwa hio maana yake anauza nini km sio nafaka?Mdada akishaanz kupost sana picha zake tayari ni jipu hilo. Mkulima na muuza nafaka aliye serious hawezi enda Instagrama kapost picha ya kujibinua tako.
Anachotangaza zaidi (tako au nafaka) ndicho anachouza!Kwa hio maana yake anauza nini km sio nafaka?
Tako zaidi kuliko nafaka nimeona hivyo nafaka ni kificho tu ila sana sana takoAnachotangaza zaidi (tako au nafaka) ndicho anachouza!