Alivyo sungura mjanja akitoka hapo atakuja na self defence tactic (scare tactic) kwa kupiga picha na viongozi wa juu nchi za mabeberu kuonyesha wanatambua umuhimu wake kama sehemu ya demokrasia.
Hila something tells me behind Zitto that there are clever and powerful people home and abroad handling him kumdhuru huyu mtu kutakuwa na consequnces za kitaifa.
Ha ha ha....Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Mbona kama vile unaniwekea maneno ambayo sijasema. Zitto yeye mwenyewe ndio anadhani kuna hiyo mipango sio mimi.Kumdhuru nani ndio una approve mkuu ambako hakutakuwa na consequences za kitaifa?
Hiyo ni Sawa na kumwambia Sirro kwamba hutishwi na manyota yake aliyoyabeba mabegani lakini unaliheshimu jeshi la Polisi.Anasema hamuogopi Magufuli ila anaiogopa Taasisi ya Urais
Chuki tu hizo kisa Meko hajui "inglishi"Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Mbumbumbu wa lumumba,jadili hoja ya msingi!Kiingereza kama huelewi basi hayo ya kiswahili yanakutosha kuchangia!Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Zitto anapigania maslahi mapana ya nchi yetu, sema ndo hivyo tena nchi yetu sa hivi wajinga wengi kuliko werevu, mtoto anamaliza chuo kikuu hajui hata nchi yake inaendeshwaje.... Mazwazwa wamekua wengi kiasi kwamba hata uwambie jambo jema kwa faida yao watalipuuza tu
Ana haki ya kuogopa maana utawala huu hauoni hatari kukumininia risasi magazine nzima!Ataongea wee mwisho atamaliza maneno yote. Alianza kusema ooh magufuli sikuogopi, hakujibiwa na mtu sasa anajaribu takukuru aone nao kama watamjibu au lah. Ukishaona mtu anatembea usiku wa maneno gizani huku anapiga kelele jua anaogopa giza. Zitto anaogopa wingu lililopo mbele yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Zitto hawezi kuguswa maana muda huu Magu atakuwa kasitisha zoezi lolote ovu kusahaulisha hizi patashika zilizoibuka siku za karibuni!Tuhuma dhidi ya serikali yake ni nyingi hivyo ana wajibu wa kumlinda Zitto maana lolote litakalo mtokea basi anaguswa moja kwa moja!mh Zitto mimi nakushauri sana usirudi huku sasa hivi. hawa huku si watu kabisa kaka - psychopath si psychopath - ni zaidi ya shetani yaani!
ninakuhakikishia walah ukirudi huku nyumbani hawa watu wakishindwa kuku-Lissu basi lazima wataku-Kabendera (dalili zipo wazi kabisa hata wewe umezishuhudia)......kitu ambacho kitakufanya usiwe effective tena kwenye hii crusade muhimu ya kulitoa joka pangoni.
maadamu wadau wa maendeleo (US, EU, WB, nk) wameonyesha dhamira na nia dhahiri kabisa ya kusaidia kupambana kumuondoa huyu mkoloni mweusi, nakushauri wewe na Lissu muendelee kubaki huko huko kwanza ila msiache kuchochea kuni huko kama kawa. endelezeni libeneke huko huko "msituni"!
Mamlaka ya ccm.Huyu zito jela anakujua lakin au unapasikia tu..ushauri wangu Zito heshimu mamlaka ili uwe salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Majina yaliyochota pesa BoT kwa sandarusi kwanini JPM kakaa nayo kimya!Zito usiwe na wasiwasi Hata Rugemarila naye ni binadamu kaungane naye
hawa watu unawajua vizuri kweli?Zitto hawezi kuguswa maana muda huu Magu atakuwa kasitisha zoezi lolote ovu kusahaulisha hizi patashika zilizoibuka siku za karibuni!Tuhuma dhidi ya serikali yake ni nyingi hivyo ana wajibu wa kumlinda Zitto maana lolote litakalo mtokea basi anaguswa moja kwa moja!
JPM hawezi kufanya wrong move,anaweza hisi labda USA wanafuatilia nyendo za Zitto akitua nchini,na hao jamaa kwa teknolojia hawashindwi!hawa watu unawajua vizuri kweli?
hizi siyo enzi za JK ndugu yangu!