the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
Lazima awaonyeshe mabeberu wake ujumbe wake.Kwani wasomaje ni wa kiswahili pekee? Acha porojo, concentrate na Agenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima awaonyeshe mabeberu wake ujumbe wake.Kwani wasomaje ni wa kiswahili pekee? Acha porojo, concentrate na Agenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani waziri wenu wa Elimu anasemaje?Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Hii preemptive technique imebuma, kesi anayo asitafute visingizio.
Hivyo Lissu kabadilisha nn alivyoepeleka umbea kwa mabeberu? Hiv ile issue ya trilioni 1.5 Mwami aliisemea nchi gani vile?Cherenganya, Muulize Makonda kwanini hawataki kubishania huku, halafu ujue kwanini mmarekani kwenye ile taarifa yake alisema anaushahidi usio na shaka, especially kwenye lile la kudhulumu haki ya watu kuishi, ndio utajua kwanini hawabishanii nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Kaka kaka kwenye njaa penyeza shekeli umemaliza !!
Zitto hana wasiwasi kwa kuwa anafahamu fika kuwa wazalendo uchwara wamebanwa makende tangu ban ya Bashite USA iwekwe.. Mnajifanya donor country, angalieni msije mkashindwa endesha nchi hii.Ataongea wee mwisho atamaliza maneno yote. Alianza kusema ooh magufuli sikuogopi, hakujibiwa na mtu sasa anajaribu takukuru aone nao kama watamjibu au lah. Ukishaona mtu anatembea usiku wa maneno gizani huku anapiga kelele jua anaogopa giza. Zitto anaogopa wingu lililopo mbele yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninyi wajinga mliolewa madaraka hamna uwezo wa kumfanya chochote Zitto. Mmeshabanwa makende na mabwana zenu mnaowaomba pesa kila kukicha.