Keep that spirit up brother Zito. Tupo nyuma yako kaka.
Mlimtia moyo Mange kwa kauli kama hizi,mwisho wa siku akajikuta yupo peke yake...
Watanzania nyie ni wanafiki sana, mwisho wa siku atajikuta yupo peke yake
Historia inaonyesha wazi kabisa kwamba,tunajua kuwaunga mikono wanasiasa na wanaharakati wanapopayuka/paza sauti zao,lakini yakiwafika ya kuwafika wote mnatokomea kusikojulikana
Mf.Tundu Lissu mlimwambia pia kuwa mupo pamoja naye,alipofikwa na yaliyomfika mpaka leo hampo pamoja naye wala hamkuwahi kuonyesha nia ya kuwa pamoja naye
Tito Magoti,sijui Ben Saa Nane,Kanguye,Mawazo,n.k hamjawahi kuwa pamoja nao...
Enzi za mzee kikwete pia,madaktari walikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Dr.Ulimboka,(tuko pamoja mkuu,komaa,wewe ni shujaa wetu,hatuwezi kukuacha uumizwe na yeyote) yalipomfika ya kumfika sasa,woooote kimya hakukuwa na hata mmoja aliyenyanyua kinywa na kukomaa kumsaidia mwenzao,wote walinywea,na hao ndiyo watanzania halisi...
Zitto usijione una lundo la supporters,ngoja utiwe nyavuni Kama utamuona yeyote hata akipanua kinywa kusema/kuandamana kwa ajili yako,hakuna hata mmoja,utajikuta peke yako mzee....[emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using
Jamii Forums mobile app