Zitto: Siogopi kubambikiziwa uhujumu uchumi, Utakatishaji fedha (USD 2M), nakuja!

Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.
Kwani waziri wenu wa Elimu anasemaje?
 
Hizi taasisi hazilisaidii Taifa letu kabisa maana mbinu na malengo yao ni kuhujumu uchumi
 
Cherenganya, Muulize Makonda kwanini hawataki kubishania huku, halafu ujue kwanini mmarekani kwenye ile taarifa yake alisema anaushahidi usio na shaka, especially kwenye lile la kudhulumu haki ya watu kuishi, ndio utajua kwanini hawabishanii nyumbani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshindwa kumtaja rafiki yake Uncle Kafu!! Ngoja siku Maalim amtende kama alivyomtenda Marehemu Mapalala.
 
Hivyo Lissu kabadilisha nn alivyoepeleka umbea kwa mabeberu? Hiv ile issue ya trilioni 1.5 Mwami aliisemea nchi gani vile?

Sumaye kawaambia siasa za kiharakati hazilipi. Fanyeni siasa kama alizowahi fanya Dr. Slaa hadi inafikia sehemu mtu unashawishika kwa hoja na sio maneno ya umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimefurahishwa/kusikitishwa na hiyo aya ya English alioiweka, sasa sijui bila ya hiyo asingeeleweka? Kwa maana utafikiri yoote alioyaandika kwa Kiswahili ni ujinga mpaka hapo kwenye Kiingereza.

ukiweka kwa kiswahili inakuwa ushahidi dhidi yako mahakamani sasa ukipiga kiswa kinge unawaacha wengi, mwache asisitize kwa ung'eng'e au tafsiri wewe uone mziki wake.
 
Zitto kosa lake ni kuasi kuimba pambio la kusifu ba kuabudu!!

Zitto ni jeuri....yaani hadi wazee wastaafu sasa wanaimba pambio hili iweje yeye agome? acha aje.
 
Zitto hana wasiwasi kwa kuwa anafahamu fika kuwa wazalendo uchwara wamebanwa makende tangu ban ya Bashite USA iwekwe.. Mnajifanya donor country, angalieni msije mkashindwa endesha nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…