Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Dr Mkumbo, Mayu hili ndilo janga hasa la vijana wetu, mna kazi sana nyie walimu, nadhani kwenye mtaala wetu msisitize watu kusoma walau Philosophy, hata kama sio matawi yote, walau logic, general psychology, ethics na epistemology, hata CL ikiangaliwa vizuri. Ukiangalia sasa watu hawajadili masuala ya msingi, wanajadili watu, yaani umbeya. Ukifuatilia majadiliano hususani watu wanaotoka chama fulani ambao kwangu nadhani ndio wanapaswa kuwa kielelezo bora ndio wamekuwa wachafuaji wa hadhi na heshima za watu, eti kwa kuwa anasupport chama kilichokinyume na wewe. Kama ni utani wa kisiasa sawa, wenye chombo waanzishe sehemu ya watani, tujue kwamba ni utani tucheke na tuendelee na kazi. Lakini kama ni kuongelea watu hii ni hatari sana, kuliko hata wauza unga.
 

Shelui lakini huyu Lema unayedai kwamba haijengi Chadema si ndiye huyu anayewahenyesha ccm Arusha hadi amewazidi nguvu? Matokeo ya uchaguzi wa udiwani ambapo ccm mliangukia pua si ilikuwa ni matokeo ya kazi nzuri ya kuijenga Chadema inayofanywa na Lema, sasa wewe unawezaje kuthubutu kudanganya watu kuwa anaidhoofisha Chadema? Bila shaka umeshindwa tu kukiri kwamba LEMA ndiye kiboko yenu pamoja na kutumia nguvu nyingi za ccm, serikali kupitia kwa mkuu wa mkoa pamoja na jeshi la polisi lakini kamanda Lema amaewaelemea sana.
 
Ni ngumu kupata jipya katika siasa na utawala/uongozi wa nchi yetu kwa mazingira kama haya. Mlikuwa mnapiga vitu vya siasa vizuri hata matumaini yakaturudi,ni nani aliyeleta ulozi?
 
Ni kweli zitto ni mtu makini sana kwa siasa za ndani lakini napata maswali mengi ni nini kinamfanya asiendelee na siasa na kutaka kufundisha vyuo vikuu,mimi naamini huwenda amekatishwa tamaa na mambo furani furani,mimi namshauri akaze buti
 
Sasa kama CDM wameshamvuruga afanyeje?

si yeye kajivuruga....?si mara kibao humu tulikuwa tukiwaambia kuwa dogo ni psychopathic.

Si alisema ana mwito na uzalendo sana, CDM wameuondoa, si alisema anazo sifa zote za kuwa Amir Jeshi mkuu wa hii nchi?Si alisema ataua hadi panya watu wakiingia ktk njia zake......


Tunasubiri next funny move.....sijui km ya Makamba ?
 
Kama hii habari ni ya kweli...na nasisitiza neno "kama", basi Zitto Kabwe ni aidha kigeugeu au asiejua anacho kitaka. Kwenye 2008 alitamkaga kauli kama hii hii ya kusema asinge gombea ubunge 2010 na kwamba angetaka kuwa lecturer. Matokeo yake akagombea. Mwaka wa jana kwenye kipindi cha Makutano show cha Fina Mango akatangaza na sauti yake ikasikika akisema kwamba anataka kuja kuwa raisi wa nchi baadae kwani uwezo anao. Sasa leo hii anarudia yale ya 2008 na kumbuka 2008 ilikua miaka miwili kabla ya uchaguzi mkuu kama ilivyo sasa.

Kama ni kweli Zitto it's time to put up or shut up.
 

'Nicolas kwa nini Zito tu awe biased na si wewe? Nadhani jichunguze nawe. Nadhani tatizo kubwa kwetu ni kuwaona wenzetu ni tatizo pasipokujiangalia kwa kina endapo nasi hatuko sehemu ya hilo tatizo.
 

U r right shelui, huyu jamaa amefanya mengi sana nchi hii kupitia ubunge wake na wananchi wengi tumeliona hilo bila ya kujali itikadi zetu za siasa, wabunge wengine wa chadema ukiacha halima mdee wamekuwa watu kama wa vijiweni kwani kutwa kulalamika na kukashifu bila ya kutoa mawazo chanya yenye kusaidia nchi, najiuliza mbowe, lissu, na lema hadi leo to be honest sijawahi kusikia mchango wao kama wabunge wenye kusaidi nchi hii ukiacha na makelele yao kila siku, wabadilike tumechoka, huo siyo upinzani ni utoto
 


Hakuna kitu kama hicho,
Chuki zenu binafsi
 
Nadhani hamna cha kuongea piteni lumumba kamateni chenu mrudi kwenu mkalale tu.nonses
 
Kuwa busy na chama chako kinachoelekea kufa mkuu...mambo ya Zitto mbona ni madogo sana ukifananisha na fujo zilizopo hapo kijani?
 

Mwanasiasa mzuri siku zote anatakiwa kuwa na malengo ya mbali na kuyatekeleza

Hii tabia ya kuwa opportunist ni mbaya sana na ndicho kinachowagharimu Zitto,Jussa na January Makamba

Wapo tayari kwa lolote ilimradi wanapata umaarufu

zito angetulia vizuri na chadema angefika mbali.akina Tundu Lissu wameibuka na kasi yao ya kujenga chama inatisha.January ni mnafiki ila yuko makini hata siku moja hawezi kukihujumu chama chake na ndiyo maana hata ile petition ya bungeni kumng'oa waziri mkuu hakusaini.

hapa anafuatilia weeee halafu kesho utamsikia anatoa press statement
 
Ninawasikitikia sana vijana wenzangu wa nchi hii, kwakweli ni aina ya vijana ambao hawaamini kuwa hawaamini wanachokiamini,

Mtu yeyote anaweza kuwageuza akili zao vyovyote apendavyo,

Namshukuru sana kamanda mwenzangu Ben Saanane kwa kusimamia nakuiishi imani yake bila kutetereka,

Niliwahi kuandika na ninatembea nakuishi katika imani hii kuwa Zitto Kabwe Naibu Katibu wangu wa Chadema ni "Mnafiki" namba moja kati ya wanafiki wote nchini wanaoishi kwa siasa!

Haya hapa chini yataishi na kutembea kichwani na moyoni mwangu daima!

 
Zito anaona mbali, mawaziri hawatakuwa wabunge, so anajipanga.
Indirectly anamsapoti kijana mwenzie ili akiingia tu, naye anashika wizara.
 
hata kuwa mwalimu pia ni mwito wa uzalendo.

Kusema hagombei leo haina maana kuwa hatagombea miaka ijayo.
 

Unaweza kumfananishe na nani? Babu?
 
Mbona hizo sifa walizo zitaja hapo huyu dr. Wa injili slaa hana. Sasa hao cdm watamweka nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…