sixgates
JF-Expert Member
- Mar 19, 2011
- 3,979
- 1,665
Kamsome tena katikati ya mstari utajua anachuki na Zito wala hana fact yeyote.
Chuki gan ninayo dhidi ya Zitto? BTW ZZK anaamini ili uwe mwanasiasa mzuri lazma urotate katika media iwe kwa negative or positive. Anaamini ili uwe vichwani mwa wananchi lazma uwajengee controversy to keep them into big awaits. Anaamini kuwa baadhi ya watu ni zaidi ya taasisi km anavyojiona yeye..which is wrong..hata taasisi ya ndoa ili ikamilike inahitaji watu wawili, familia inahitaji watu, hivyo hata chama kinahitaji watu. ZZK is no body km sio chadema ila chadema will remain firm without Zito, dokt slaa au hata mbowe. Huwa watu wanacheza na taasisi hawajui nguvu yake.
Taifa ambalo haliheshimu taasisi limekufa. Zitto anahisi ni maarufu kuliko chadema kumbe sio kweli, arudishe mawazo yake nyuma afikiri upya.