mnyama mwenye sifa za mamalia na ndege POPO.....
Zitto is a Trator yeye na wengine wengi wa CCM na CDM wanajua....
Unajua is better to be royal to the team than to the truth...,,,,kwenye jeshi wale traitors toka jeshi jingine wakiwaletea habari jeshi jingine mwishoni wale wale wanao pewa habari humuuwa yule mpashaji habari maana wanajua atafanya hivyo kwao pia ...anakuwa hana muamana.
Ningependa kuona upinzani unaimarika zaidi ni muhimu katika ustawi wa nchi ,haipendezi kuona mtu yuko upinzani akitumiwa na chama tawala downlow .Hata chama pinzani chochote kikichukua nchi na kuwa chama tawala still vyama vitakavyokuwa vya upinzania vitakuwa na umuhimu ule ule katika ustawi wa taifa hasa as watch dog