Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Naona Chadema Kaskazini saizi ni furaha tu, habari njema kwao.

Vile vile Zitto, kutokuwepo kwenye wagombea ubunge ni pigo kubwa kwa Chadema ataondoka na kura zake.

Zitto, alikuwa ana balance chama kutokuwepo kwake ndiyo safari ya Chadema kupotea kwenye medani ya siasa.

Chadema sasa kitabaki kuwa chama cha Kaskazini, ndoto za kina Nassari zimetimia.
 
Last edited by a moderator:
Tembo wote wanaimalisha chama ,Cha magamba kwani ruzuku I mepungua kwa sababu ya CD M
 
kwahiyo kwako wewe siasa za kina Lema ni za maji taka! .... think in upper case!
 
I wonder!! inakuwaje ma ccm waumie na kulalamika as if wao ndiyo wameumia kuondoka kwa Zito so its true ana faida kwenu kuliko kwa wana cdm? kama ni hivyo bora aende tu.
 
Amezidi mno kusema, si atende sasa. Last election alisema, akagombea.

Attentions zitamuua huyu kipenzi cha UVCCM na chama twawala.
 
Source Majira

Mbunge wa kigoma kaskazini bwana Zitto Kabwe kafichua siri nzito na kudai hana mpango wa kugombea urais mwaka 2015 na wala hatagombea ubunge ila anataka kutafuta chuo na awe mwalimu wa chuo na analenda sasa kufundisha maswala ya uchumi na mazingira ndio dhamira yake

hiyo ndiyo siri nzito?!!!!!!!!
 
Lumumba kazi mnayo!!

Kuna thread kaileta Zitto mwenyewe "UJENZI na 250 bln" twende kule mkachangie pia!!!
 
Mtakuja kushangazwa! Chadema watawashangaza.CCM endeleeni kupiga risasi very wrong target!
 
anyways binafsi naona sawa tu kama GPA inamruhusu ni bora akafundishe uchumi kwani waalimu wa uchumi ni wachache sana. ubunge ni kuzeeshana tu
 
tunahitaji ufafanuzi wake mwenyewe hapa jf isije ikawa 2najadili uzushi.
 
We mwenyewe unaonekana bonge la taahira halafu unawaita wenzako wajinga. Sisi tupo na zitto because yeye yupo kitaifa zaidi na sio kichama. Kwenye mambo ya msingi yanayohusu taifa kwa ujumla anawekaga itikadi za siasa pembeni. Ni mtanzania halisi wala sio mkanda,mdini wala mkabila. Toka povu ilahalitosaidia.

sixgates katoa hoja za msingi sana, kwa nini watu walioshupalia jambo hili ni wajinga (hawajui, ignorant people). Nilitegemea ungejibu hoja zake na kuonyesha asivyo sahihi, lakini wewe umeamua kumwita taahira (mtu asiye na akili timamu), bila kuwa na sababu yeyote ya msingi !.
 
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto

Umewahi kuwa mkweli na kujiuliza vizuri iwapo unajitambua?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mtu complex hawezi toa maelezo mepesi kiasi hiki,kwan mbunge hawezi kufundisha???!!!!
Si anakaa Dar jimbo lipo Kigoma sasa atashindwa kuishi Mwanza kwenye vyuo na aendelee huko kanda ya ziwa???!!

If this is true ,he should come out clean!!!!!

Kwa uwezo wake na matumaini ya baadhi ya watu juu yake ni sawa na dereva kugomea safari katikati ya msitu!!!!

Aseme safari ngumu.??????
Gari bovu????!
Uwezo wa kuendesha umeshuka??!!!
Konda na tanboi hawampi ushirikiano safarini???!!!!
Nia ilikuwa sio kufika???!!!
Alitaka tu kuonekana akilitoa basi kituoni????!!!!!
Alitaka kuendesha magari katika kampuni ya kimataifa ila ilikiwa ni lazima aendeshe basi kwanza???

duh GT wa cku hizi bana......mkuu wewe ni mmoja wa failure wa mwaka jana? au akili zimezidi mno?

Zitto ameamua kukaa pembeni na siasa, hayo maswali unauliza kama Zitto umemtengeneza wewe na unamwamulia maisha, what a shame!!
 
Mgombea urais Chadema kabakia Dr.Slaa peke.

Mbowe, hawezi tena kugombea katiba mpya mgombea urais lazima Degree.
 
sixgates katoa hoja za msingi sana, kwa nini watu walioshupalia jambo hili ni wajinga (hawajui, ignorant people). Nilitegemea ungejibu hoja zake na kuonyesha asivyo sahihi, lakini wewe umeamua kumwita taahira (mtu asiye na akili timamu), bila kuwa na sababu yeyote ya msingi !.

Kamsome tena katikati ya mstari utajua anachuki na Zito wala hana fact yeyote.
 
Basi limejaa chawa mpaka kwenye kiti cha dereva. Basi hilo uking'ang'ania kuliendesha unaweza kuliangusha wakati wa kujikuna...

hivi mmeshawahi kuona majirani wakikerekwa na maisha ya familia nyingine mpaka wanakosa amani! wanasema wao, wanachambua wao, wanauliza wao na wanaconclude na ku-recommend wao wakati familia husika wako kimyaaaaa! sijui tuwaiteje majirani wa aina hiyo? wana viherehere au? maana pilipili wanakula wengine wanawashwa wao
 
Back
Top Bottom