Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa akina Mnyika, Mbowe, Sugu, Lema etc wakigombea ubunge nani atakua waziri endapo CHADEMA watashinda kama katiba ikisema wabunge wasiwe mawaziri?Ninachojua kwa mujibu wa Rasimu ya Katiba ambayo itapita, ZZK atakuwa WAZIRI WA FEDHA NA UCHUMI, (waziri hatakuwa mbunge na atapewa kazi ya uwaziri kwa kuzingatia taaluma yake) KAKA ZZK yupo sahihi na naamini atafanikiwa kufufua uchumi wetu. Maccm mlie tu, 2015 huyohuyo ZITO atapeleka charge mahakama ya ICC kufilisi majangili yote.
Mgombea urais Chadema kabakia Dr.Slaa peke.
Mbowe, hawezi tena kugombea katiba mpya mgombea urais lazima Degree.
Source Majira
Mbunge wa kigoma kaskazini bwana Zitto Kabwe kafichua siri nzito na kudai hana mpango wa kugombea urais mwaka 2015 na wala hatagombea ubunge ila anataka kutafuta chuo na awe mwalimu wa chuo na analenda sasa kufundisha maswala ya uchumi na mazingira ndio dhamira yake
Sipati picha jinsi gani Dr Slaa atakavyo furahishwa na hii habari. Babu relax, Zitto is no longer your threat.
sasa akina mnyika,mbowe,sugu,lema etc wakigombea ubunge nani atakua waziri endapo cdm watashinda kama katiba ikisema wabunge wasiwe mawaziri?
teh teh kumbe hana degree?
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto
Siyo Mbowe, peke yake ambaye hana degree wapo wengi tu, Sugu, Nyerere, Msigwa, Wenje, Lema, Mnyika, hawa wote hawana degree.teh teh kumbe hana degree?
kitila nae si anataka ubunge kule kwa mwiguru?.ukweli cdm hawana watu wa kutosha kucover kwenye ubunge na uwaziri wa muungano na wa serikali ya Tanganyika kama itakuwepo na kuna uwezekano jimbo la zito likaenda NCCR au CCM,na pia kule kwa she buda nako jimbo litawaponyoka.Tatizo mnakalili! kwani cdm ni hao tu mnao waona? kuna watu na shule zao na wapiganaji na ni watendaji wazuri tu hawataki kuwa wanasiasa na wapo cdm! mfano Dr Kitila si mbunge lakini ni cdm.
sasa akina mnyika,mbowe,sugu,lema etc wakigombea ubunge nani atakua waziri endapo cdm watashinda kama katiba ikisema wabunge wasiwe mawaziri?
Dr.W.Slaa atapumua sara manake usingizi walikuwa hawaupati na Ben Saanane atapumzika katika kazi aliyokuwa amepewa na slaa. SUMU itapa pumziko sasa.