senzoside
Senior Member
- Mar 13, 2012
- 182
- 31
cdm watakuja kujua umuhimu wa zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya cdm hana siasa za maji taka kama akina lissu, lema na sugu. Hakuna asiyejua mchango wa zitto kwa cdm. Hawa vijana akina lema hawajengi cdm bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika zitto
sijui na wewe unajua maana ya maji taka kweli au unaongea tu ilu mradi