Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Ndugu zito kabwe unafikir ninani wakuziba pengo lako endapo utakwenda kufundisha au kulima michikichi? kumbuka siasa ya nchi hii imefika hapa ilipo pale ulipofichua uozo wa mafisadi ikiwemo richmondi.Tafadhari mheshiwa badili msimamo wako vijana tunakutegemea ahsante kaka.
 
Huyu zitto ni Mzugaji mara ubunge mara uraisi mara sigombei... wewe acha kabisa ubunge unaliliwa hata jk akimaliza uraisi atatamani agembee ubunge...
 
Alishasoma alama za nyakati kuwa 2015 hatapata kura!!!! 2010 aliponea chupuchupu!!! Ukitaka kujua hilo tafuta matokeo ya kura ya jimbo lake!!! Kwa upande wa uras akae kimya, tena asiongee!!! Labda akagombee kule wanakomtumia!!!
 
Mkuu VUTA-NKUVUTE mara nyingi kauli za Zitto hazina uzito we subiri siku miezi na miaka ya uchaguzi ikikaribia atatoa tena kauli nyingine yenye kupingana na hii.
Mkuu Ngongo Zitto anafanya hivyo kwasababu anajua ana maadui kibao,

kwa hili mimi nampongeza ni moja ya mbinu za kisiasa usipende kila kitu

watu wajue mambo yako.

Cc.Ben saanane
 
Kama ameona babu sillaa anataka kumkida, nafuu asalimishe maisha yake, zito si mtu wa kuweka maisha rehani, ana uwezo wa kufanya kazi yeyote hivyo, namshauri zito aendelee km alivyoona kwani uhai haununuliwi
 
CDM watakuja kujua umuhimu wa Zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya CDM Hana siasa za maji taka Kama akina Lissu, Lema na Sugu. Hakuna asiyejua mchango wa Zitto kwa CDM. Hawa vijana akina Lema hawajengi CDM Bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika Zitto

maccm bana.mpeni usajili dirisha dogo 2015 naona mnamhitaji xn
 
Naona Babu atakwenda honeymoon tena Israel na kimwana chake cha kihaya kupumzika. Maana watakuwa wamepumua sana. Na wanazi wengi wa CDM hii ni furaha sana kwa ndugu yangu Molemo, Ben Saaanane na wengine wenye mrengo kwa kushoto juu ya Zitto. Maana na wao wanafikiri sasa wanaweza pumua na kujipatia vyeo ndani ya CDM. Yaani mi sijuwi kazi ya akina Ben na wenzake ndani ya CDM na umuhimu wa Zitto kwa siasa za nchi. Zitto ni mtu makini huwezi fananisha na Ben hata kidogo na kwa hakika watajuta baadaye.

Wanafiki hata tulipopiga chini madiwani arusha mlisema tutajuta matokeo yk chali.zzk kwnz haaminiki so akistepdown itakua poa sana.vijana wapo wengi wenye uwezo zaid yake
 
Wapika majungu wote siwaoni hapa watakuwa wanajipongeza huko waliko,

Yericko Nyerere, Ben Saanane na Molemo mpo wapi?
 
Zitto kila la kheri. Kazi yako inaonekana ndani ya Tanzania, wanao kubeza ni wivu ndio unao wasumbua, wanatamani wafike hapo ulipo ila wamechemka.
 
Yeye ni msaliti na Hana njia ingine ya kufanya kwasababu Cdm wameshammaliza kisiasa! Aende akapromoti Bongo fleva Kigoma!
 
Niliyaona haya yanavyokuja.......na hivi alishatamka hawezi kuhamia au kuanzisha chama kingine.......baada ya kukanusha mengi kuhusu kukosa kwake amani ndani ya chadomo.......sasa kuna kila dalili ndugu yupo njia panda...

Kuishi chadomo inataka moyo....
 
Kama kweli Zitto anajitoa kwenye siasa basi Tz itakuwa imepoteza mwanasiasa mwenye upinzani wa kwel. I think kufanyike attempt ya kumbakisha, serious.
 
Dr. Slaa na kambi yake sasa angalau wanaweza kupumua kidogo.
Mkuu vipi maeneo ya Kinole bado nia ipo? kuna vingi vya kufanya kama nia ipo maana watu hawataki maneno wanataka yanayoonekana na yafanyike mapema siyo kusubiri wakati na kutoa ahadi teh teh teh ! awe nawe kama Zitto?
 
Wapika majungu wote siwaoni hapa watakuwa wanajipongeza huko waliko,

Yericko Nyerere, Ben Saanane na Molemo mpo wapi?

Acha kuweweseka na akili zako mgando ndugu,

Unatakiwa kutushukuru kwa hatua hii mpaka chama kilipofikia na kinapokwenda,

Usiongozwe na hisia zako mfu,
 
Back
Top Bottom