Dah! ina maana
Zitto atakuwa kaona chombo sahihi cha kutolea habari kama hizi ni majira? Na kwa nini Habari hii itoke leo wakati bunge linaanza Dodoma? Any way jaalia imetoka kwa bahati nasibu, Hivi tunakumbuka mjada uliokuwa hot kabla ya huu? Wenzangu hamuhisi kwamba mjadala huu umeletwa sasa ili kufunika mjadala wa Sembe ?Kwa nini mjadala huu unakuja baada ya kumalizika mkutano wa CC ya CCM mjini DODOMA? Hivi wenzangu ninyi mmepata fununu kwamba kwenye kikao cha DODOMA; CCM wamekubaliana kubadili mbinu? Any way. ngoja tumsikilize zitto mwenyewe aseme kwanza. Kueni makini kwenye michango yenu kwenye mada hii mnayoitoa kabla ya
Zitto mwenyewe hajatokeza humu.