cdm watakuja kujua umuhimu wa zitto baadaye. Zitto ni jembe sana ndani ya cdm hana siasa za maji taka kama akina lissu, lema na sugu. Hakuna asiyejua mchango wa zitto kwa cdm. Hawa vijana akina lema hawajengi cdm bali wamekidhoofisha sana chama kwa siasa zao za maji taka. Pumzika kaka pumzika zitto
Sipati picha jinsi gani Dr Slaa atakavyo furahishwa na hii habari. Babu relax, Zitto is no longer your threat.
Teh teh teh, hofu ya nini mkuu? ZITTO ni pblic figure na hapendi mambo ya kinafiki nafiki na huenda ameona aliko mambo siyo shwari akaamua kuona mbele.am ssure atagombea,ni kupitia CCM au NCCR,Zitto wa sasa sio yule wa enzi zile za uzalendo wa dhati wa maneno na vitendo, time will tell!!
Sasa kama CDM wameshamvuruga afanyeje?
Maccm na mafisadi mtapumua sasa maana alikuwa anawashughulikia kisawa sawa
Teh teh teh, hofu ya nini mkuu? ZITTO ni pblic figure na hapendi mambo ya kinafiki nafiki na huenda ameona aliko mambo siyo shwari akaamua kuona mbele.
Mkuu,
Inaelekea umekatoshwa tamaa na kutokutekelezwa kwa kauli ya Mbowe kuwa hatagombea tena uenyekiti.
Unaweza ukawaza kwa kadri nafsi yako inavyoridhika ila nimechangia kuhusu kilichoandikwa pale juu and nothing less nothing more...!
Huyu zitto ni jembe sana bado tunahitaji chalenge zake sana maana bado kijana na mawazo ya kujenga sio kama wale wafanya vurugu
kilicho mdhoofisha zito ni kuwa na dalili za umamluki co alikuwa anaonekana kutumika na ccm ndio mana ccm wanamuunga mkono.
Dr. Slaa na kambi yake sasa angalau wanaweza kupumua kidogo.