chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,694
- 4,954
Ili akishindwa baada ya kukosa mvuto ionekane alihama jimbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema imepoteza mvuto kabisa kwa watanzania.
eti unafanya kazi wapi? maana wewe kila siku upo jf. wapi unapata mkate wako? iwe mchana au usiku upo. duh.
Tuliosoma pale mlimani tunamfahamu huyu kijana hashauriki. Akiamua la kwake ndilo hilo atakalosimamia. Jambo moja nalo lifahamu kwake, Zito ni mzalendo. Sijui pengine alipopata hela kama alibadilika. Mimi ushauri wangu kwake aendelee kupigana kwenye mfumo ndani ya CDM. Akihama chama ataisha kisiasa, atazidi kupoteza credibility. Nina uhakika kwamba uchuguzi wa mwakani utawaibua vijana wengi charismatic zaidi ya Zito. Nchii hii ina hazina kubwa sana ya watu wenye uwezo.
Zitto hapendwi kwa sababu hatoki kaskazini.
Chadema imepoteza mvuto kabisa kwa watanzania.
Zitto ndio aliipa umaarufu chadema, na ndio, ameiondolea umaarufu.
Zitto hapendwi kwa sababu hatoki kaskazini.
Zitto jembe
[/TD]Chadema imepoteza mvuto kabisa kwa watanzania.
Yani post ya kwanza mpaka kumi ni ID za chama.????? Sasa naamini maneno yamzee tupatupa, afanye kukusanya hizo tablets tuu kama vichwa ndo hivyo vya,kutegemewa.
Bila Zitto chadema ni sifuri