titomganwa
Senior Member
- Oct 12, 2010
- 126
- 62
Simwoni mwingine anayeweza kuiongoza nchi hii kwa sasa zaidi yangu. Nchi hii kwa sasa inahitaji mtu mwajibikaji hata kama jambo hilo litamletea madhara, mwenye uadilifu usio na shaka, anayeyajua matatizo ya wananchi na awe na uwezo wa kuwaunganisha Watanzania, alisema Zitto.
Zitto nadhani upo frustrated.wenye uwezo kuliko wewe ni mamilioni. usijidanganye na kwa kauli hizi huwezi kuwa kiongozi kamwe. ukiendelea hivi hata ubunge utausahau. Jamani naamini umaarufu ni shida.
Mungu Atusaidie, na atuepushe na wanasiasa wanaoshinda kwenye vyombo vya habari wakijiita ni watendaji eti kwasababu wanatajwa mara kwa mara. umaarufu na uwajibikaji si kitu kimoja Zitto. kauli yako inakera mpaka kwenye mapafu