Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

“Simwoni mwingine anayeweza kuiongoza nchi hii kwa sasa zaidi yangu. Nchi hii kwa sasa inahitaji mtu mwajibikaji hata kama jambo hilo litamletea madhara, mwenye uadilifu usio na shaka, anayeyajua matatizo ya wananchi na awe na uwezo wa kuwaunganisha Watanzania,” alisema Zitto.

Zitto nadhani upo frustrated.wenye uwezo kuliko wewe ni mamilioni. usijidanganye na kwa kauli hizi huwezi kuwa kiongozi kamwe. ukiendelea hivi hata ubunge utausahau. Jamani naamini umaarufu ni shida.

Mungu Atusaidie, na atuepushe na wanasiasa wanaoshinda kwenye vyombo vya habari wakijiita ni watendaji eti kwasababu wanatajwa mara kwa mara. umaarufu na uwajibikaji si kitu kimoja Zitto. kauli yako inakera mpaka kwenye mapafu
 
Zitto kachanganyikiwa sio bure. Hivi watu milion 44 anajiona mwenye uwezo ni yeye tu? Hizi ni sifa za kijinga na kujitafutia umaarufu usio na maana. Agombee urais kama atapita,hapiti ng'oo! Na akithubutu tu,ubunge ndio kwa heri tena. Kigeugeu,mnafiki na muongo mkubwa huyo,hafai hata kupewa ubalozi w nyumba kumi.
 
MTU unayemdharau Leo na kumchukulia kama hana maana, kesho awe a Kuwa kiongozi wako. Ilinde heshima yako kwa faida ya kesho

Naona km umechangnyikiwa na hujui unajibishana na nani. Wahuni sisi tunawajua
 
Zitto anajutia upumbavu wake huko aliko
 
Zitto anataka kumtoa mzee wa mitusi Kigoma Mjini
 
Duh.....naona wazee wa jembe na nyundo wamekomaa na sifa hewa mfululizo.......
 
Vijana wa CHADEMA hawawezi kupitisha siku bila kumtaja taja ZITTO.
 
ZZK ni debe tupu, siasa sio biashara kama ilivyo elimu, sasa penye miti hapana wajenzi, na upwa mkavu haufai kukufulia kanzu; NENDA MWANAKWENDA NENDA ZZK NENDA
 
Mhishiwa Kigwa, vipi naona jana ulipima kina cha maji ukauona urefu wake.
Yaani wewe ukiwa rais mimi nitakuwa Mungu.

Hahahahaha, ama kweli ukistaajabu ya Musa....kumbe Simiyu Yetu ndo kigwa atasubiri sana, halafu kwa nini magamba ndo wanashupalia sana ishu ya ZZK?
 
Nimemdharau sana ZITTO KABWE kubishana na DIVA Twitter (..KUHUSU MAPENZI YAO..).... hafai kuwa rais hajakomaa kama mtu mzima. :angry::angry::angry:
 
Upinzani bila demokrasia ya kweli ndani ya vyama hakika Ccm haitatoka madarakani, demokrasia huanzia ndani ya chama, tatzo la upinzani ukiibuka na hoja tofauti na mwenyekiti uyapata cha moto sasa kuna tofauti gani na ccm....kadiri upinzani unavyokua na kuenea tanzania unarudi pale pale kama ccm inavyofanya
 
Back
Top Bottom