Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015



Wewe nawe kama mwanamke wa kwenye madanguro.Hiyo statement fupi ya ben Saanane kwamba hataki kuitwa kwenye mijadala ya kipuuzi ndiyo imekupelekea kuropoka yote hayo?kuwa mstaarabu tu.Huoni kauli zako hizi ndiyo zinaipa uzito hiyo sentensi ya ben hapo juu kuwa ni mjadala wa kipuuzi maana wewe ulichoandika hapo ni upuuzi.Kama alikugongea mke si mkamalizane huko mtaani?

Hii mada ya kumjadili Zitto haina tija.Kama atagombea au hagombei sio ishu kwetu.upinzani jipangeni sisi tunaendelea kupanga na kutekeleza sera na ilani tukutane 2014/15


Hata ulichokiandika unaonekana moja kwa mona ni mtu mwenye njaa na uliekosa muelekeo wa maisha,

Hizi iman potofu na viburi mnavyopata kwa kushinda shinda humu JF vinawatoa ufaham sana,

Mnahis kila mnaezungumza nae kwenye keyboard basi mnalandana nae,

Umaskini umewaganda hadi kwenye fikra,sasa maisha binafsi ya Zitto na maamuz yake mnayawekea chuki itawasaidia nin??

Mtakufa maskin kama mnavyoish sasa kimaskin maskin
 
  • Thanks
Reactions: kdc
Huyu zitto ni jembe sana bado tunahitaji chalenge zake sana maana bado kijana na mawazo ya kujenga sio kama wale wafanya vurugu

hawezi kuacha siasa anataka kuwa wazir mkuu wa tz maana katiba mpya haiitaji wazir mkuu ambae ni mbunge huyo kijana anaona mbali anataka ajiunge na ccm ili makamba ampatie u pm
hiyo ndo plani cdm mpooo
 
Mtu mwenye akili timamu anamini katika ushirikina kuliko quran au biblia au sayansi?

hebu jaribu kuwa objective. mimi najadili bottom line ya uamuzi wake. kuna ubaya gani kuacha siasa? kwa nini uamuzi huo uwe na kisifa cha uwehu? manake psychopath ni mwehu. kuna uwehu gani katika uamuni aliotangaza zitto? after-all hilo ndo wengi tuliwahi kumshauri huko nyuma. kuna uwehu gani katika uamuzi huo?
 
nakuheshimu sana nicholas. futa hii kauli. tusitumie vibaya kozi za saikolojia. zitto ni kiongozi katika chama makini. hivi karibuni nimepata ushahidi ni mzima, anazo akili timamu baada ya kumsikiliza mara kadhaa akiongea. niliwahi kumchambua kwa mtizamo huo wa kwako awali lakini kuna ushauri tulimpatia humuhumu JF -- naamini na maeneo mengine pia watu walimshauri--alisikiliza ushauri ule. Tulikuwa tunamshauri kufanya hili ambalo katangaza hapa.

Wewe unaona psychopath kwenye hii akili nzuri? Futa kauli aise....

Kisiasa uamuzi huu pia ni sahihi. Katika siasa ni vizuri uchague wewe wakati wa kutoka. Na wakati mzuri ni pale unapokuwa bado unakubalika. Hilo linakupa nafasi ya kurudi baadaye. So let him go. Ni mpango mzuri. Hakuna psychopath hapo.... Mi naona busara hapo. The boy is OK!

Nshukuru sana kwa kuniheshimu, ingawa ktk mambo km haya kutanguliza heshima ni kujiandaa kuongea kitu chepesi km si kupiga mzinga kwa kuanga black mail , yaani unaanza kwa kuweka guilty consciousness ili kunifunga mikononi na miguuni , na kufumba mdomo wangu .

Naona unajitahidi sema kwa lugha ya wale walioamua sema neno tulilozoea kwa miaka mingi limekuwa tusi "Kipofu" na hivyo kututaka tuanze sema "ulemavu wa macho".HAPA NI KM UNANIAMBIA KUWA ALIKUWA HIYO HALAFU MKAMTIBU SASA UNAAMINI KAPONA.

psychopathic si kwamba si msikivu mara zote ila ni selective ,manipulative ,tricky na huwa anafanya kitu anachokijua kuwa ni kibaya, ila kwake ni furaha.

Ningefurahi sana km ungejaribu balance ulichoandika kikawa na maana moja isiyojipinga.Hapo ndipo panapotuangusha watanzania hata tukisoma.

Matatizo ya kisaikologia tiba yake pia ni ya kisaikologia.
 
Mtu mwenye akili timamu anamini katika ushirikina kuliko quran au biblia au sayansi?

Aliwahi kiri bungeni kuwa ktk simu yake ringtone zake....ni pamoja na quran....Lipumba full.Mwanasiasa wa watu wote unaweka ringtones za dini, wakati watu wanokutegemea ni wa dini tofauti?
 
Kumtetea mkuu Zitto, inahtaj uwe na moyo mgum.. kuna kipind alisema hatagombea ubunge, badala yake atagombea urais kupitia CDM2015, ikafka muda akasema hilo suala limefungwa had katiba mpya itakapopatikana ndo ataonesha upya msimamo wake... sasa kuna haya mapya yameibuliwa tena na majira... something smelling fishy here!!! hata kama ni malengo, mtu huwez kuwa na malengo mchanganyo namna hiyo.... bro luk bk and correct wher thins went wrong.! its never too late... there is a chinase proverb says the best time to plant a tree was 20yrs bk, and the 2nd best time is now.! angalia hi thread inavoshangiliwa na wapinzani we2 kisiasa.. they luv u bcoz u ar against them? smart? agains their threat in the party? or jus bcoZ u ar with them????? All i can say we stil need u!!
 
Jamani nani anabisha bila zito hakuna cdm bila csm hakuna zito sasa kaona ajiengueee mapemaaa kabla hajamwagiwa tindikali kwani lisemwalo lipo safi zito waachie tuone kama kura zitapigiwa kanisani basi tutajua umevumilia mengi sana mauzauza hayo ya cdm ila bado nakupa big up ungeweza kuhamia chama kingine wewe sio mroho umeona siasa basi hongear sana japo bado tunakuitaji ukijisikia unaitaji siasa rudi na utafunika mbaya.
 

Kwani kitila mkumbo na zitto lao si moja?Si tuliambiwa humu kuwa wao ndiyo waliokua katika alliance ya PM-7 yaani Pindua Mbowe ili Zitto awe Mwenyekiti na yeye awe katibu mkuu?Taratibu anajitokeza tu ili ujue mungu hamfichi mnafiki

Haha...kwa hiyo naye wa kumpa joto wamepungua...?Mimi nimeishangaa comment yake kwa kuwa na patterns za Ki UDSM...inafanafana sana ni fikra za UDSM za wasomi walio too general ktk mambo specific....halfu akaitumia k ndicho kipimo cha kumhukumu Mchangiaji.
 
ebwana na mpongeza zito sana kwa uamuziwake, kwani ametenda makubwa sana ktk politics tanzania, ngoja awaache wenyeuchu na madaraka waendelee kuipeleka nchi kubaya.
 
Hata ulichokiandika unaonekana moja kwa mona ni mtu mwenye njaa na uliekosa muelekeo wa maisha,

Hizi iman potofu na viburi mnavyopata kwa kushinda shinda humu JF vinawatoa ufaham sana,

Mnahis kila mnaezungumza nae kwenye keyboard basi mnalandana nae,

Umaskini umewaganda hadi kwenye fikra,sasa maisha binafsi ya Zitto na maamuz yake mnayawekea chuki itawasaidia nin??

Mtakufa maskin kama mnavyoish sasa kimaskin maskin
Hawa watoto ni wafu ingali wapo hai, ndio maana mabasha wanaongezeka kila siku kwa ajili ya watoto wenye njaa kama hawa ambao wako tayari kupakatwa ili wahongwe GX 110, kina dada wawe makini na vijana kama hawa njaa kali kwani wanawamezea matr hata mariana wa dada zao.
 
Huyu zitto ni jembe sana bado tunahitaji chalenge zake sana maana bado kijana na mawazo ya kujenga sio kama wale wafanya vurugu

Siyo kweli kuwa Zitto anaacha siasa, ila ameamua kutumia hekima fulani ili aondoke CDM, alafu baadaye ajiunge na chama kingine.
Chadema wajiandae Kisaikolojia maana wapo wengine watakaoondoka, huu ni mpango mkakati wa muda mrefu wa kuidhoofisha CDM. Kama huamini endelea kusubiri uyaone yatakayojiri.
 
Siyo kweli kuwa Zitto anaacha siasa, ila ameamua kutumia hekima fulani ili aondoke CDM, alafu baadaye ajiunge na chama kingine.
Chadema wajiandae Kisaikolojia maana wapo wengine watakaoondoka, huu ni mpango mkakati wa muda mrefu wa kuidhoofisha CDM. Kama huamini endelea kusubiri uyaone yatakayojiri.
Kama anaondoka ni bora aende awaache watu wajenge chama chao kuliko unafiki unafiki wake.Ataishia kuondoka peke yake akitegemea kuna kundi kubwa nyuma yake.Chadema sasa hivi kina majembe kama akina Lissu,Mnyika,Msigwa,wenje,Sugu,Mdee,Susan Lyimo na wengine wengi wakiongozwa na mbowe na Slaa.Kosa alilofanya ni kuacha akina Lissu wamfunike halafu ndio aondoke labda kama angeondoka kabla ya uchaguzi mkuu uliopita au baada tu ya uchaguzi angeweza kuleta madhara.Sasa hivi hajulikani kama yupo.Anaelekea kuwa kama Shibuda

Hivi si alisema hatawahi kuuzungumzia Urais hadi mwaka 2015?
 
Hawa watoto ni wafu ingali wapo hai, ndio maana mabasha wanaongezeka kila siku kwa ajili ya watoto wenye njaa kama hawa ambao wako tayari kupakatwa ili wahongwe GX 110, kina dada wawe makini na vijana kama hawa njaa kali kwani wanawamezea matr hata mariana wa dada zao.

Ben kapiga Multiple scores no matter what you say.......Kwanza aliona right way, alichofanya kukisimamia against popular and wild Zitto,psychopathic aliye tayari kusema na kufanya lolote kumuondoa anayemwekea usiku, ni kuamua panda kilimanjaro huku watu wato wote hata wanaotoa vibali wakiwa vikwazo, na baadae kupanda mlima, then watu wenye maumbile tofauti nao wakapanda mlima.Ben alikuwa na critics wengi sana, akasimama na kusema yupo tayari kuthibitisha, na yote aliyosema yametokea na yanaendelea tokea.......ni avalance ............bado ataumbuka sana Zitto.

Kajiona kuwa ni mjuaji kwa kublack mail kila mtu on his ways, ktk siasa, chama chake, ktk jamii kaingia kwa wasanii ili awaibie ring tones ,kwenye madini kote kanyamazishwa kwa hela.Soon utasikia na wasanii nao wakikomoaa naye...
 
Naona unajitahidi sema kwa lugha ya wale walioamua sema neno tulilozoea kwa miaka mingi limekuwa tusi "Kipofu" na hivyo kututaka tuanze sema "ulemavu wa macho".HAPA NI KM UNANIAMBIA KUWA ALIKUWA HIYO HALAFU MKAMTIBU SASA UNAAMINI KAPONA.

psychopathic si kwamba si msikivu mara zote ila ni selective ,manipulative ,tricky na huwa anafanya kitu anachokijua kuwa ni kibaya, ila kwake ni furaha. Ningefurahi sana km ungejaribu balance ulichoandika kikawa na maana moja isiyojipinga.Hapo ndipo panapotuangusha watanzania hata tukisoma. Matatizo ya kisaikologia tiba yake pia ni ya kisaikologia.

Nicholas, tatizo la uchambuzi wa matatizo ya psychology ni kwamba hakuna mzima. naweza nikachambua word selection yako katika argumentation zako nyingi hapa nikakuta wewe pia ni mgonjwa. Kwa hiyo tofauti zetu ni degrees--au pengine niseme viwango vya kuumwa. Hilo linazusha haja ya kuvumiliana katika ubinadamu wetu. Lakini pia ukifanya individual cost-benefit analysis ya hatma ya mwisho ya maamuzi ya mtu ndiyo hupunguza hukumu ya tendo lenye sura ya wehu. Hii ndiyo dhana inayotumiwa kuruhusu vita.

bottom line ya uamuzi wa zitto ni nini kwake at individual level? kwanza ataepuka migogoro ya kisiasa ambayo ni mingi. anataka kazi isiyokuwa na migogoro mingi. anataka amani at individual level. kuna wehu gani katika kutafuta a peaceful life? nadhani ni vizuri ukifuta kauli....usimwite zitto psychopath. hii kauli si sahihi.
 
Ninawasikitikia sana vijana wenzangu wa nchi hii, kwakweli ni aina ya vijana ambao hawaamini kuwa hawaamini wanachokiamini,

Mtu yeyote anaweza kuwageuza akili zao vyovyote apendavyo,

Namshukuru sana kamanda mwenzangu Ben Saanane kwa kusimamia nakuiishi imani yake bila kutetereka,

Niliwahi kuandika na ninatembea nakuishi katika imani hii kuwa Zitto Kabwe Naibu Katibu wangu wa Chadema ni "Mnafiki" namba moja kati ya wanafiki wote nchini wanaoishi kwa siasa!

Haya hapa chini yataishi na kutembea kichwani na moyoni mwangu daima!

Yericko punguza hasira ndugu yangu...
 
Bora upumzike na siasa za ubabaishaj za Mbowe na Slaa za kuwajaza watu matumain ya uongo na kualika mamluki (external support) ili waingie madarakan kwa njia yoyote ile hasa kwa machafuko....!!!
 
Huyu Nicholas nibonge la mdini na mtu mwenye chuki na imani za watu. Zitto kuweka ringtones za quruani inahusianaje na uongozi. Haina haja kubishana na wewe kwakuwa wewe ni -------- uliejaa udini. Mashambulizi yote hayo sio kwamba hufahamu mchango wa Zito bali kwakuwa unachuki na imani yake.
 
Last edited by a moderator:
Ogopa sana mtu mwenye ka-tabia ka kuanzisha taasisi ndani ya taasisi anayoitumikia.
 
Back
Top Bottom