Elections 2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

Zitto akitaka asalimike, ataje,ayaweke majina hadharani. Na kama chadema itaendelea kumfuga basi tutathibitisha kuwa ni chama cha kilaghai.

sixgates hata wewe unamruka kimanga swahiba wako.. Chadema haikuwahi kushirikiswa hayo majina sijui aliyatoa wapi na kwanini yameyuka ghafla... hizo zilikuwa ni hoja zake za kujitafutia umaarufu!
 
Last edited by a moderator:
...huyo ndo zzk,mtayajua mengi sana maana tumechoka sasa.wanaccm wanajifanya kumshambulia kuficha mkakati wa siri waliomtuma savimbi...
 
Bonge la movie yaan hiyo movie ni nouma sema hamjui tu ila upo muda mtajua
 
Zzk atakuwa nayo hayo majina ila kutakuwa na movie imechezwa hapo, hatayataja na km kawaida yake atakuwa amekula mshiko mrefu ili asiwaseme waliyoyaficha naamini yatakuja yaitese sana chadema kwny uchaguzi mkuu ujao, zzk kaamua kulisaliti taifa na watanzania kwa ujumla.
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?

Watanzania wa leo wanaelewa, wanatambua nini maana ya kiapo, Zitto sio tu amesema hana bali ametamka hayo kwa kuapishwa, tazama jinsi gani unaaibisha wasomi wa taifa hili!
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?

Dr. Kitila,
Pole sana kwa yanayokusibu. Naona matokeo ya kutumika na CCM na kutupwa sasa ndiyo unaona matokeo. Pole sana ndugu yangu. Naona baada ya kunyanganywa vyeo CHADEMA na CHUONI sasa unaandika nje ya mada. Pole sana, ni imani yangu baada ya muda utajielewa.
 
Nyie watu wekeni akiba mtakosa pakujificha. Yaani hawa akina AG na LK mmewaamini ghafla? Kwa hiyo kesho wakiwaambia ule mkanda wa mabomu ya Arusha ni feki, haupo mtakubali na kuwashangilia?

Sitaki kuamini kuwa hujui maana ya affidavit au vinginevyo umeandika hivyo kwa makusudi kwa kuwa unajua kinachoendelea na likely ni new strategy ya CCM kwa kushirikiana na Zitto na watu wake kwa malengo yafuatayo;

1) Kukana kwa Zitto mbele ya kamati ya Serikalini na kuapa(wenye kuwazua wajiulize kwa nini Zitto aliapishwa? Kwa kuhofia nini kama asingeapishwa na kwa manufaa ya nani??) Miezi sita iliyopita na serikali ikakaa kimya hadi leo hii ndio AG anaibuka tena kipindi ambacho CHADEMA wana mgogoro na Zitto,hii sio coincidence bali it was MoU baina ya pande mbili katika wining-wining situation!!

2) Baada ya Serikalini na AG kumzodoa Zitto bungeni kuhusu mabillioni ni starting point ya kumrudisha Zitto ulingoni kisiasa na kukuza pia mgogoro na CHADEMA huku wakimsafisha kuwa hatumiki na CCM kwa Zitto kupewa platform ya kutaja watu ambapo obviously watatajwa watu kama Manji,RostamMengi,Chenge and alike peoples ambao hawatoshitua lakini ndani yake atatajwa Mbowe!! Hii itachagiza mgogoro na kuonekana vita ya Zitto kutaka kuvuliwa uanachama ilikuwa ni biased ili Zitto apate jina na mlango wa kutokea CHADEMA akiwa hero lakini cooked hero for a special meal to the special peoples!!

Wasomi wa nchi hii ndio wanaiuza nchi kwa kufanya uharamia wa undumi la kuwili kwa mgongo wa usomi,we will see!!
 
Politics at its best. Let watch this saga.....remember don't be so fast to make conclusions in politics because the end result might surprise you.
 
Sitaki kuamini kuwa hujui maana ya affidavit au vinginevyo umeandika hivyo kwa makusudi kwa kuwa unajua kinachoendelea na likely ni new strategy ya CCM kwa kushirikiana na Zitto na watu wake kwa malengo yafuatayo;

1) Kukana kwa Zitto mbele ya kamati ya Serikalini na kuapa(wenye kuwazua wajiulize kwa nini Zitto aliapishwa? Kwa kuhofia nini kama asingeapishwa na kwa manufaa ya nani??) Miezi sita iliyopita na serikali ikakaa kimya hadi leo hii ndio AG anaibuka tena kipindi ambacho CHADEMA wana mgogoro na Zitto,hii sio coincidence bali it was MoU baina ya pande mbili katika wining-wining situation!!

2) Baada ya Serikalini na AG kumzodoa Zitto bungeni kuhusu mabillioni ni starting point ya kumrudisha Zitto ulingoni kisiasa na kukuza pia mgogoro na CHADEMA huku wakimsafisha kuwa hatumiki na CCM kwa Zitto kupewa platform ya kutaja watu ambapo obviously watatajwa watu kama Manji,RostamMengi,Chenge and alike peoples ambao hawatoshitua lakini ndani yake atatajwa Mbowe!! Hii itachagiza mgogoro na kuonekana vita ya Zitto kutaka kuvuliwa uanachama ilikuwa ni biased ili Zitto apate jina na mlango wa kutokea CHADEMA akiwa hero lakini cooked hero for a special meal to the special peoples!!

Wasomi wa nchi hii ndio wanaiuza nchi kwa kufanya uharamia wa undumi la kuwili kwa mgongo wa usomi,we will see!!

Sibishi wala siungi mkono maneno yako ila naomba kufahamu,je haya maneno yako hasa 2 ni kweli ndio iko hiyo au umefanya tu uchambuzi akinifu kutoka kwenye facts unazozijua?
 
Mkuu labda we ni msahaulifu.
Wiki iliyopita waziri mkuu kamwita muongo kwa kupotosha wananchi kuwa yeye anapokea mamilioni ya shiling wakati ni mil 6 tu.
Mpaka leo Zito hajaleta ushaidi wa mamilioni ya Pinda. Sasa unataka athibitishe majina?

Mbona hilo la Pm halihitaji Zitto. Hata Mtoto wa darasa la tano anaweza kupiga hesabu nakuleta jibu. Mbunge amzidi Pm kwa mshahara kwa bongo hii imetokea lini?
 
Nafikiri alikuwa na majina hayo ila walioficha mafweza hayo wamempa kitu kidogo na yeye! Safari zake za kwenda huko alikuwa anakwenda kufungua account yake huko Uswiss. Achunguzwe kama kweli hajaficha fedha huko!
 
Sibishi wala siungi mkono maneno yako ila naomba kufahamu,je haya maneno yako hasa 2 ni kweli ndio iko hiyo au umefanya tu uchambuzi akinifu kutoka kwenye facts unazozijua?

Mkuu Demarco,naamini ni mfuatiliaji wa siasa za nchi hii ambazo zimejaa ghiliba na upuuzi kede kede kuliko masilahi ya Raid na serikali inawekeza kwenye propaganda zaidi na mbinu za kutawala milele kuliko maendeleo. Zimeshaanza mda kelele za Mbowe ana jumba Dubai,ruzuku za Chama na tender,kumbuka pia Mbowe ana ukwasi wa kutosha kwa kurithi na alioendeleza.

Ukitaka kuwachezesha watu ngoma na uwateke basi usipige mwenyewe bali mtafute romba/manji toka kwingine, na kwa kumaliza rejea haya ya Mwisho ya mzee Tupa Tupa then tafakari!!
 
Mkuu labda we ni msahaulifu.
Wiki iliyopita waziri mkuu kamwita muongo kwa kupotosha wananchi kuwa yeye anapokea mamilioni ya shiling wakati ni mil 6 tu.
Mpaka leo Zito hajaleta ushaidi wa mamilioni ya Pinda. Sasa unataka athibitishe majina?

Na juzi hiyo hiyo kuna jamaa kambwaga mahakamani kwa kushindwa kuthibitisha tuhuma za rushwa
 
Back
Top Bottom