Zitto: T249 CMV limemteka Nondo, mmiliki ni Deo Beda

Kwa nini afanye yote hayo kwa nchi yake inayojiita huru? Kama kapenda kupanda basi? Anaogopa nini na nani?
 
Namba ya kusadikika, ila kuna kitu kinanishangaza kidogo, yani hakuna hata raia walijisumbua kufuatilia hiyo gari?

Kweli utekaji umekuwa jambo la kawaida
kwahiyo alitoka kwa mguu avuke daraja la watembea kwa miguu hadi akapande garinza goba, haujauliwa tu hapo katikati? hiyo stand ndo inakufa kibudu hakuna mtu atashuka au kupanda hapo
 
ujinga mtupu jitu linashabikia vita ukrain wakati lioga linaogopa watekaji.
 
Nimeshangaa hili , kakosa hata mpambe
 
ACT jitoeni urafiki na CCM na jitoeni Serikalini huko Zanzibar kama Nondo hatapatikana ndani ya siku 3.

Maana zikipita siku 7 basi jueni washamywaa tayari - nchi inaelekea kubaya. Vijana wanadakwa mmoja mmoja
 
Hapo kwenye kusema gari inadaiwa parking amekosea. Kamwe hautakiwi kusema mbinu unazotumia kupata taarifa. Next time hutozipata taarifa tena kwa njia hiyo, wahusika wataziba huo mwanya.
Hivi mkuu unaamini hizo number zilizotolewa ?
Hiyo plate number iliyobandikwa kwenye Land cruiser ni fake
 
Umefika wakati sasa raia waruhusiwe kumiliki silaha bila masharti magumu vinginevyo hawa wapuuzi watatumaliza wote
 
Mkuu unavyosema ni sawa lakini kumbuka GodBless Lema alitekwa JKNI
Mzee Kibao Mungu amrehemu alitekwa ndani ya Bus akiwa safarini.

Kiufupi hali ni Mbaya na yote haya yana baraka za huyu Mama mikono yake imejaa damu .
Tuzidi kumuomba Mungu Nondo apatikane akiwa hai na si vinginevyo.
 
Polisi wa Tanzania wafanye spinning kwa lipi wakati Hata wakikukamata wazi na kukuua hakuna wa kuwafanya kitu. Ali Kibao si aliuwawa na waliojiita polisi tena alitekwa hadharani why wafanye spinning? Wanamuogopa nani?

We kama unadhani ni rahisi, beba hata panga tu kamteke mtu pale Mbagala Zakheem uone kama utafika hata kizuiani!! Utashangaa umezingirwa na askari wa kutosha meaning hakuna jambazi anaweza teka watu hadharani hivyo kwa kujiamini hao ni polisi wenyewe.
 
Gari ya Minja ni ist...Hayo magari yao ya utekaji wanaweka namba bandia za magari ya watu nao ni ujinga mwingine wanao kuja nao. Zitto nae kaingia mkenge
Wewe unafaa kutusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…