Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

Magufui kiboko hakuna hoja ya kiiasa kwa sasa, siasa zimehami twitter kuchambua makusanyo watasema nini sasa kama kila kitu kinaenda?
 

Unaushahidi wa hii kauli yako??
 


Huenda wanakopa kutoka sehemu mbali mbali!
 
Upigaji sasa upo kwenye mabenk wakifunga Account yako kuifungua lazima utoe pesa

Kma kodi hulipi unategemea nn?? Ni kufungiwa tu. Mfanyabiashara anayefata sheria huji kuta anafungiwa account. Huu sio muda wa kufanya biashara kimagendo fata sheria za kodi
 
Unaushahidi wa hii kauli yako??
Ushahidi uletewe hapo gheto kwako? Maana wewe ni mnufaika wa ukwasi wa baadhi ya maofisa wa TRA vinara wa kufunga biashara Account za wafanyabiashara kutengeneza mazingira ya Rushwa , wewe tayari ni mtetezi wa uonevu huwezi kukubali ushahidi wowote
 
We jamaa acha kudanganya wana jf,
Unajidanganya mwenyewe acha kushirikisha JF na Akili zako binafsi za kunufaika na uonevu wa baadhi ya maofisa wa TRA wasio na utu wala huruma kwa wafanyabiashara
 
Mwezi mmoja kabla ya uchumi wa zimbabwe kuanguka rasmi waziri wa fedha alitangaza uchumi wao unakuwa kwa 10%
Hiyo inaitwaga mateke ya mwisho kabla ya kukata roho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magazeti leo yanasema Polisiccm wataanza kuwakamata wakwepa kodi, kuwapa Polisiccm kazi ambayo hawana uzoefu nayo ni kutoa fursa mpya ya Rushwa na ni kwa nini Nchi hii imekuwa na vituko namna hii? Kila siku wanabuni mbinu za kuwatesa wafanyabiashara badala ya mbinu za kuwalinda kuboresha mazingira bora ya biashara
 
Thank God for the Zitto Kabwe's of the world...

60 million people country, only one guy is talking about the economy outside of Government
 
Tulishazoea ujinga wako! Nakumbuka mwaka uliosoma kwenye vioo vya ndege baada ya uchambuzi wako kukuonesha kwamba ndege hizo zimetumika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…