Zitto: Taarifa ya TRA kukusanya trilioni 2 ni ya kubumba

awamu ya 5 kwa misifa imeshindikana!

hawakawii kututangazia tz imeipatia usa msaada wa vifaa tiba wenye thamani za usd milioni 500 ili kupambana na corona!!!.
Dah [emoji1787][emoji1787]
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba....
Awamu ya 5 ishazoeleka sasa na tabia yake maarufu ya ndege aitwaye mbuni (ostrich).

Tabia ya mbuni mwisho wake huwaga ni pale muda ukifika!
 
TRA watupe na breakdown ya hayo makusanyo kama zamani. Hongereni serikali ya awamu ya tano big up ila sasa sisi wananchj tunataka tuone huduma inalingana na kukamuliwa huko ikiwemo refund za VAT kwa mashirika yenye exemption kwa kuwa wanadai hela nyingi sana na hayo makusanyo hizo zimo.
 
Zitto Kabwe ameandika hivi kwenye ukurasa wake wa Twitter

“Taarifa ya makusanyo ya kodi iliyotolewa na TRA leo kuwa Desemba wamekusanya shs 2T naamini ni ya kubumba..
TRA wengi huwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara hawashindwi kupika data feki za makusanyo kwani TRA ya sasa haifanyi kazi kwa mujibu wa Sheria bali kwa mujibu wa zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu.
 
Kama hajaongeza mishahara ya wafanyakazi kwa miaka 6 sasa, kwanini ashindwe kuhamamishia serikali Dodoma?
Shifting goal posts!
Ukishindwa kwenye hili unakimbilia lile.

Wage bill(gharama ya mishahara) imeongezeka sana kutokana na kuajiri wafanyakazi wapya, kulipa madeni ya wafanyakazi na kupandisha madaraja. Kwa hiyo siyo kweli kwamba saving ya mishahara imesababisha kuhamia Dodoma.
 
Mabenk yanalalamika wafanyabiashara kukosa imani na mabenk baada ya TRA kwenda kufunga Account zao kienyeji kisha kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kwa njia haramu za kishetani, tunapoelekea wafanyabiashara wakubwa watahamia Nchi Jirani wote wamechoka kubambikiwa kodi na baadhi ya maofisa vinara wa Rushwa
 
unawaapa lengo TRA 2T wakusanye alafu wakifungia na kuua biashara unarudi tena kuwafunga.LENGO KUBWA MNO UKILINGANISHA NA MDORORO WA BIASHARA UNAOENDELEA HAPA NCHINI.
Hii ndio ukisikia Punda afe mzigo ufike..St Jude school walionja joto ya jiwe.
 
Kati ya watu wanao umia kuona mafanikio ya uongozi wa Raisi Magufuli mmoja wapo ni huyo Zitto Kabwe
Mi Sijui huyu msela yupo tu, na leo Membe sijui kaishia wapi?Wafanye kazi zingine
 
Umaarufu hautafutwi kwa nguvu huja kwa maarifa na matumizi ya akili.

Serikali imetoa taarifa kwa wananchi kwamba mwezi December 2020 imekusanya kodi tsh trillion 2.

Anaibuka mtu anabisha kwamba siyo kweli na kwamba yeye ndio atatoa taarifa sahihi baada ya kupitia makabrasha ya BoT.

Huyu Zitto Kabwe ni nani hasa maana hata bungeni hayumo?

Maendeleo hayana vyama!
 
Sasa wamezifanya Benk kukosa imani toka kwa wafanyabiashara kisa huenda kufunga Account za wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu za kishetani kuwabambikia kodi hewa za uonevu, TRA ya awamu ya Tano ni waonevu na wanyanyasaji wakubwa kwa wafanyabiashara
 
Kwani anaoongea uongo kila kitu? Isitoshe tuna akili timamu, tunaweza kupima upi ni ukweli, na upi ni uongo. Ni kweli Zito sio wa kuaminika, lakini uongo wa Zito una afadhali kuliko wa jiwe na serikali yake.
Kwenye TRA kuwahadaa watanzania Zito yupo sahihi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…