Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Kwa ufupi kabisa na bila kupoteza muda wenu nasema - huu ni mfano halisi na hai wa MAWAZO TEGEMEZI!Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Nini Kazi ya Tozo?Ukiandika ujinga wako wa kupotosha utajibiwa,afu sikariri id za watu na deal na content..
We kwa ujinga wako unaona ni sawa serikali isitishe tozo eti kuna hela ya IMF,una akili timamu kweli wewe?
Nikutafunie mimi kwani hukumsikiliza Rais na Waziri Mwigulu?Nini Kazi ya Tozo ?
Hilo la "kusitisha" lina uhusiano gani na huko atokeapo Zitto, kama ulivyokueleza na kumlaumu yeye kana kwamba ndiye hufuja hela zinazopelekwa huko kwao!Ukiandika ujinga wako wa kupotosha utajibiwa,afu sikariri id za watu na deal na content..
We kwa ujinga wako unaona ni sawa serikali isitishe tozo eti kuna hela ya IMF,una akili timamu kweli wewe?
Kwa hiyo tozo zinaenda kujenga choo ya Mwigulu au? Acha upumbavu,kama huoni inavyohusiana Baki hivyo hivyo na ujinga wako.Hilo la "kusitisha" lina uhusiano gani na huko atokeapo Zitto, kama ulivyokueleza na kumlaumu yeye kana kwamba ndiye hufuja hela zinazopelekwa huko kwao!
Unapokuwa na akili ya tope huwezi kutambua "content" kama unavyodai hapa. Sihitaji "kukariri" kujua nani hutoa 'content' gani, ni sehemu ya ufahamu (comprehension) ya hiyo 'content'. Kama wewe siku zote 'content' zako ni za kipuuzi, utafahamika kwa hali hiyo.