KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Wewe ndo mjingaKwa hiyo tozo zinaenda kujenga choo ya Mwigulu au? Acha upumbavu,kama huoni inavyohusiana Baki hivyo hivyo na ujinga wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndo mjingaKwa hiyo tozo zinaenda kujenga choo ya Mwigulu au? Acha upumbavu,kama huoni inavyohusiana Baki hivyo hivyo na ujinga wako.
Aisee wabongo kwa Kusahau shikamoo, tozo Zilianza Awamu ya Magu, kuanzia Vocha, hadi miamala ya Kina Mpesa, watu wakalalamika weee sasa hivi wamesahau.Wanaotetea tozo wanalala kwenye nyumba za serikali bure, hawajuhi bili za maji wala umeme.wanatumia magari ya serikali. Hii nchi imejaa watu wajinga sana.
Magufuli asingesapot kitu cha kipuuzi kama hiki.
Rip jmp.
Zitto Kabwe ameishiwa kabisa.....Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Naunga mkono hoja.Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Hakuna asiyetaka kulipa Kodi. Ila kabla hilo halijaanza kuanze uwajibishaji viongozi wote wanaofuja kodi zetu. Haiwezekani nihangaikie kulipa Kodi halafu mijitu inalipana mamia ya mamilioni, na bado hawatosheki wanafanya ufisadi kila kona.Serikali ibuni jinsi ya ku distribute kodi kwa wananchi wote. Kila mtu au taasisi alipe kodi kulingana na kipato chake.
Ujinga wa kukamua kundi fulani ndo nchi iendeshwe huku tukitembeza bakuli kwa watu wa ulaya wanaolipa kodi kila mwananchi iwe mwisho.
Sheria kali dhidi ya wafujaji wa mali ya Tanzania itungwe na utekelezaji wake uwe ni strict.
Mtanzania alazimishwe kulipa kodi kuijenga Tanzania 🇹🇿. Tanzania 🇹🇿 itajengwa na Mtanzania na sio IMF.
Zitto aache cheap politics. Angeonekana wa maana kama angeelekeza jinsi ya kubali sera ya kodi na sio kushauri kutegemea wafadhili.
Watu wachangie maendeleo ya nchi yao
Sina msaada kwa mtu kama wewe.Kwa hiyo tozo zinaenda kujenga choo ya Mwigulu au? Acha upumbavu,kama huoni inavyohusiana Baki hivyo hivyo na ujinga wako.
Wangapi wamelipa Kodi kwa miaka 60?..unadhani mzungu atakupa hela ya kukufanya uendelee?..rasilimali tunazo,uwezo was kukufanya zitupe Tina tunao?...ifike mahali tione aibu kuomba na tuchangie kuikwamua nchi yetuWamechangia kwa miaka 60 na nchi ina utajiri mkubwa wa rasilimali na nchi za wafadhili na mashirika ya Kimataifa yametupa misaada na mikopo ya trillions lakini hadi hii leo hatuna hata kimoja cha kujivunia kila kitu ni HOVYO HOVYO TU!!
Hawa hawana uwezo.....huyu mama ni takwa la katiba tu hakuna kitu...wapo wamama ila huyu ajaliKiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Kwani hizi changamoto zinazotatuliwa kwa tozo zinagharimu kiasi gani?Wewe nae ni mpuuzi,kwamba fedha za IMF ndio zitamaliza changamoto ambazo zinatatuliwa kwa fedha ya miamala?
Inajiongelesha kwa sababu umekosa ku trend siku nyingi. Huyo Zito kule kwao Kigoma hadi kesho ni mavumbi matupu,hakuna huduma za afya za maana hadi wamama wanalala wa 2 kwenye vitanda na huduma ziko mbali ..
Wewe Zito utakuwa ni mjinga Sana kwa sababu unaishi Mjini huna hata huruma na watu wa Vijijini.
Kama hana uwezo anaropoka nini sasa..Kwani hizi changamoto zinazotatuliwa kwa tozo zinagharimu kiasi gani?
Zito anawezaje kuondoa hayo matatizo huko kwao kigoma?
Duh Mkuu hivi ndio point ya Zitto hio kwamba tuendelee kutegemea wafadhili ?Serikali ibuni jinsi ya ku distribute kodi kwa wananchi wote. Kila mtu au taasisi alipe kodi kulingana na kipato chake.
Ujinga wa kukamua kundi fulani ndo nchi iendeshwe huku tukitembeza bakuli kwa watu wa ulaya wanaolipa kodi kila mwananchi iwe mwisho.
Sheria kali dhidi ya wafujaji wa mali ya Tanzania itungwe na utekelezaji wake uwe ni strict.
Mtanzania alazimishwe kulipa kodi kuijenga Tanzania 🇹🇿. Tanzania 🇹🇿 itajengwa na Mtanzania na sio IMF.
Zitto aache cheap politics. Angeonekana wa maana kama angeelekeza jinsi ya kubali sera ya kodi na sio kushauri kutegemea wafadhili.
Madini, Utalii, Nchi Kubwa, Kilimo vyote ni nini kama sio vyanzo ?Kama hana uwezo anaropoka nini sasa..
Afu kuna watu mna akili finyu na ya kimaskini.Muwe mnafuatilia taarifa,Maji ni tatizo nchi nzima,huduma za afya ni shida ,vyumba vya madarasa ni vichomi,barabara ndio kabisaa sasa vihela vya tozo SI tuu hazitoshi ila ni kama tone tuu .Hizo tozo mnazopigia kelele humu hazifiki Hata Til.1 kwa mwaka ..
Sasa hiyo hela Sio kitu ila kwa kuwa mna ujinga Mwingi na hamuelewi ndio ma'am mnaandika upupu.
Tozo zilikuwepo tangia enzi na enzi (Kodi) Issue sio Tozo, Issue ni Kiasi gani na kama hicho kiasi ni rafiki..., Transactions zimepungua sana kutokana na hizi double taxationAisee wabongo kwa Kusahau shikamoo, tozo Zilianza Awamu ya Magu, kuanzia Vocha, hadi miamala ya Kina Mpesa, watu wakalalamika weee sasa hivi wamesahau.
Yeye alikuwa wapi wakati znapitishwa uyo ni mnafiki kama wengine tuKiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amesema tozo za miamala ziliwekwa na serikali katika bajeti ya serikali ya mwaka 2021/2022 ili kuwezesha ujenzi wa madarasa nchini.
Hivi karibu Serikali imepata fedha kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa(IMF) ambazo zimetangazwa kutumika kujenga vituo na madarasa nchi nzima. Zito ameshauri serikali kuzipunguza au kuziondoa tozo.
Zitto amezungumza hayo akiwa katika mahojiano Times FM
Kigoma kuna Zitto pekee, RC, RAS, DC, DAS, DED, Mbunge na Mwenyekiti wa halmashauri wanafanya kazi gani mpaka Zitto pekee ndiyo apeleke maendeleo?Wewe nae ni mpuuzi,kwamba fedha za IMF ndio zitamaliza changamoto ambazo zinatatuliwa kwa fedha ya miamala?