Zitto: Tozo za miamala ziondolewe kwa sababu kuna hela ya IMF

Kwa akili ya Zito ukijenga madrassa ndio changamoto zamaendeleo ya nchi ndio zimeisha? Haji ikapata ahueni ya kibajeti, giada uliyonayo inakupa nafisi ya kuhamia manero mengine? Ningemuona wa wana angeomba review ya bajeti.
 
Amekosa ubunge hata muonekano wake umerudi ule wa burundi.
 
Kwa akili ya Zito ukijenga madrassa ndio changamoto zamaendeleo ya nchi ndio zimeisha? Haji ikapata ahueni ya kibajeti, giada uliyonayo inakupa nafisi ya kuhamia manero mengine? Ningemuona wa wana angeomba review ya bajeti.
Kwanza mutoa hoja hujaiweka vizuri. Ztto amesema ataunga mkono miradi ya maendeleo inayojengwa mkoani Kigoma kwa sababu miradi yote inayotekelezwa yeyendiye mwasisi na aliipigia kelele sana na Mingine alitafita mpaka wafadhili.

Pili hakuna Mbunge au mwanasiasa ambaye haungi mkono miradi ya maendeleo inayotekelezwa jimboni kwake, na mdo maana kila mbunge huwa anaomba serikali ijenge shule,Barabara, n.k hivyo Kauli ya zzto ichukuliwe kisiasa.
 
Tumia lugha ya upole ni wanakula kwa urefu wa kamba
 
Ok fedha za Tozo ilikua zitumike kujenga madarasa.

Haikuwa hivyo kwani zilikuja fedha za IMF ambazo ndizo zilizojenga vyoo na madarasa.

Serikali ituambie fedha za Tozo zilizokuwa replaced na za IMF zilifanya nini.

Fedha za Tozo baada ya za IMF kutumika zinafanya nini??

Kwanini tulipe kodi mara mbili katika muamala mmoja.

Kama tayari fedha za kujenga madarasa zilikuwepo kwanini tukatumia za IMF.

Kwanini badala ya kuelekeza fedha nyingi eneo moja tu ( vyoo na madarasa).

Tusipunguze deni la ndani ili kuongeza mzunguko wa fedha.

Kwanini Tozo zisitumike kutengeneza ajira mpya??

Kama fedha zipo za Tozo serikali itumie kuajiri.

Hali ya uchumi ni mbaya.

Njaa nayo inabisha hodi.

Bila kuwa na mkakagi mkakati wa haraka kuna hatari inayokuja ambayo ingeweza kuepukika.
 
Kwani hao unaosema wana barabara za vumbi sio watanzania na hawatoi kodi itakayowaletea maendeleo? Zitto ndo mjenga barabara na hvyo vituo vya afya? We hujui kazi ya mbunge. Sasa we na zitto nani kilaza.
au akili zako zpo matakoni
 
Zitto ni kipima joto cha CCM,ni mwanasiasa mwenye tag price ata akiongea lolote jema bado haaminiki uku kwa wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…