Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, iweje umdhihaki Hayati Magufuli?

Zitto si ndio juzi kati alimwita Lissu kwa kutumia jina lisilofaa lenye kumaanisha mlemavu hadi akaomba radhi?
 
Zitto mnafiki sana.
 
Anapenda sana kukashifu baba wa wenzake ila mama yake nae aliguswa akamwaga chozi.
 
Zitto ni mjinga fulani mwenye tamaa. Chadema wanamfahamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…