Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa naungana na wewe na hakuwa hata siku moja kuumiza mtu yeyote kiwango cha Magufuli kwa kweli huyu atasemwa miaka nenda rudiMama yake zitto hakuwa fisadi, mwiz8, mporaji na muuaji.
Zitto mnafiki sana.Ifike wakati wanasiasa wenye hulka kama za Zitto Kabwe kumpa heshima Hayati Magufuli kama anavyompa heshima marehemu mama yake mzazi ambaye pia ametangulia mbele za haki.
Zitto ulilia Bungeni baada ya Marehemu Mama yako kutajwa katika tujuma zako, Iweje umdhihaki Hayati Magufuli? kwa kusema hadharani kuwa wale wanaompenda sana Magufuli waende Chato wakachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Magufuli kisha wajizike
Zitto, Je, nawe kukikwambia kuwa kama unapenda mama yako uende ukachimbe kaburi pembeni ya kaburi la Mama yako kisha ujizike utajisikiaje.
View attachment 2193743