Zitto ulitumia nguvu kubwa kwenye kupinga juhudi za serikali kwenye mapambano dhidi ya Corona, sasa tumia ile ile pia kuiambia dunia kuwa Tanzania sa

Mati Mkenda

Senior Member
Joined
Mar 4, 2018
Posts
171
Reaction score
211
Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani kila kilichofanywa alikibeza. Na mara nyingi alitumia akaunti yake ya Twitter kuandika ujumbe wa kubeza ambao alikuwa akiwa-tag raia wa Mataifa mengine, na taasisi nyingine za kimataifa ambao yeye aliona kwamba wanatakiwa kujua kile alichokuwa akikisema, au wenyewe kwa nyakati tofauti waliibeza serikali yetu, hao tunaweza kuwaita ni “Accomplices” wake kwenye harakati zake hizo.

Zitto alianzisha kampeni yake aliyoiita “M3 Campaign” akisema kuwa “M” hizo zinawakilisha Miguu, Mikono, na Mdomo. Kampeni yake hiyo mbali na kuwa na components za yale yaliyokuwa yanasisitizwa na serikali, lakini ilifunikwa na Mwavuli wa kupinga sehemu kubwa za yale ambayo serikali ilikuwa ikiyafanya. Ilijikita sana kuikosoa serikali hasa pale ilipofanya tathmini na kuona kuwa kwa mazingira ya nchi yetu isingekuwa vema ku-impose “LOCKDOWN” kwa wananchi wake. Zitto kila siku alisisitiza kuwa hali ni mbaya sana hapa nchini, na kuwa nchi ingeingia katika hali mbaya zaidi ikiwa ni pamoja na kutengwa na jumuiya za kimataifa.

Kinachonishangaza ni kuwa baada ya Rais kutangaza kuwa sasa tunarudi kwenye mfumo mpya wa maisha, Zitto naye kimya kimya amerudi kwenye utaratibu huo. Na mbaya zaidi yale aliyokuwa akiyasisitiza kwenye kampeni yake ya M3 hakuna analolifuata hata moja kwa sasa. Yeye ndiye amekuwa mzungukaji sana, anawakusanya watu kila siku kwa makundi, anashikana nao mikono, havai barakoa n.k.

Kwa nafasi yake nilitarajia ndo awe wa kwanza kuitekeleza kampeni yake, na si kuanzisha kampeni ambayo yeye mwenyewe hawezi kuiishi. Nimuombe tu ndugu yangu Zitto Kabwe awe muungwana; atumie nafasi yake hiyo tena, kuiambia dunia kuwa sasa Tanzania ni salama kwa COVID-19, na kisha awa-tag ndugu zake wale wale aliowatag upotoshaji wa awali. Tanzania ni nchi yetu sote.
 
Kajinga sana hako ka Zitto!
 
Nimejiuliza sana nilipowaona Zitto , Membe na Maalim Seif wanakumbatiana (hugging) na kupeana mikono.
Hadi sasa Magufuli na viongozi wenzie wa juu wa serikali tu ndiyo sijaona wakivunja hii kanuni ya social distancing kwenye kushikana na kukumbatiana.
 
Kati ya watu wachache waliotumia nguvu kubwa sana kuzibeza juhudi zilizochukuliwa na serikali ya awamu ya tano, pamoja na wataalam wetu wa ndani katika kupambana na Ugonjwa wa Corona (COVID-19), ni ndugu yetu Zitto Kabwe. Huyu bwana kwake hakukuwa na jema lolote lililofanywa na serikali, kwani kila kilichofanywa alikibeza. Na mara nyingi alitumia akaunti yake ya Twitter kuandika ujumbe wa kubeza ambao alikuwa akiwa-tag raia wa Mataifa mengine, na taasisi nyingine za kimataifa ambao yeye aliona kwamba wanatakiwa kujua kile alichokuwa akikisema, au wenyewe kwa nyakati tofauti waliibeza serikali yetu, hao tunaweza kuwaita ni “Accomplices” wake kwenye harakati zake hizo.

Zitto alianzisha kampeni yake aliyoiita “M3 Campaign” akisema kuwa “M” hizo zinawakilisha Miguu, Mikono, na Mdomo. Kampeni yake hiyo mbali na kuwa na components za yale yaliyokuwa yanasisitizwa na serikali, lakini ilifunikwa na Mwavuli wa kupinga sehemu kubwa za yale ambayo serikali ilikuwa ikiyafanya. Ilijikita sana kuikosoa serikali hasa pale ilipofanya tathmini na kuona kuwa kwa mazingira ya nchi yetu isingekuwa vema ku-impose “LOCKDOWN” kwa wananchi wake. Zitto kila siku alisisitiza kuwa hali ni mbaya sana hapa nchini, na kuwa nchi ingeingia katika hali mbaya zaidi ikiwa ni pamoja na kutengwa na jumuiya za kimataifa.

Kinachonishangaza ni kuwa baada ya Rais kutangaza kuwa sasa tunarudi kwenye mfumo mpya wa maisha, Zitto naye kimya kimya amerudi kwenye utaratibu huo. Na mbaya zaidi yale aliyokuwa akiyasisitiza kwenye kampeni yake ya M3 hakuna analolifuata hata moja kwa sasa. Yeye ndiye amekuwa mzungukaji sana, anawakusanya watu kila siku kwa makundi, anashikana nao mikono, havai barakoa n.k.

Kwa nafasi yake nilitarajia ndo awe wa kwanza kuitekeleza kampeni yake, na si kuanzisha kampeni ambayo yeye mwenyewe hawezi kuiishi. Nimuombe tu ndugu yangu Zitto Kabwe awe muungwana; atumie nafasi yake hiyo tena, kuiambia dunia kuwa sasa Tanzania ni salama kwa COVID-19, na kisha awa-tag ndugu zake wale wale aliowatag upotoshaji wa awali. Tanzania ni nchi yetu sote.
Sijui kwa nini ashambuliwe Zitto.Sioni sababu ya msingi ya kumlaumu ZZK au Chadema.Dunia imekuwa kiganjani,watu walivyokuwa wanaanguka China kila mtu aliiona,madaktari na wagonjwa waliofariki halikuwa ni jambo la siri.Ukweli ni kuwa kilikuwa kipindi cha hatari mno na mshtuko mkubwa na ni halali kwa wakati ule kila mtu kuelezea hisia zake.Kuna walioamua kujifungia makwao miezi mitatu wakipima upepo (hawa hamuwazungumzii),kuna waliotosa posho za vikao.
Ukweli ni kuwa corona imepungua mno Tanzania (hakuna tena mazishi ya usiku wa manane,hakuna tena hospitali maalum) lakini kwa mtu anayeamini katika sayansi na verified evidence bado hatujawa salama kiasi cha kuanza kusimangana.Bado na hivi ambavyo tumeruhusu foreigners na kulegeza masharti,mmh.
 
Zitto angezungumza ukweli kwa wakati ule hakuna ambaye angemfuatilia sasa. Yeye alijikita kuonyesha kuwa Tanzania ni nchi chafu pengine kuliko nchi yoyote duniani. Sasa mbona anadunda tu kitaa? Na hata alipopewa hali halisi na wataalam wetu alikuwa akiongea kinyume. Aongee ukweli sasa hali ikoje?
 
Kuweka akiba ya maneno kwa wanasiasa ni kitu cha msingi sana.
 
Sijui kwa nini ashambuliwe Zitto.Sioni sababu ya msingi ya kumlaumu ZZK au Chadema.Dunia imekuwa kiganjani,watu walivyokuwa wanaanguka China kila mtu aliiona,madaktari na wagonjwa waliofariki halikuwa ni jambo la siri.Ukweli ni kuwa kilikuwa kipindi cha hatari mno na mshtuko mkubwa na ni halali kwa wakati ule kila mtu kuelezea hisia zake.Kuna walioamua kujifungia makwao miezi mitatu wakipima upepo (hawa hamuwazungumzii),kuna waliotosa posho za vikao.
Ukweli ni kuwa corona imepungua mno Tanzania (hakuna tena mazishi ya usiku wa manane,hakuna tena hospitali maalum) lakini kwa mtu anayeamini katika sayansi na verified evidence bado hatujawa salama kiasi cha kuanza kusimangana.Bado na hivi ambavyo tumeruhusu foreigners na kulegeza masharti,mmh.
Hii kauli ya kusema "corona imepungua Tanzania" huwa inanitatiza maana najiuliza kwani mwanzo ilikuaje na kipi kilichofanyika hadi ikapungu? Mimi sioni kilichofanywa kupunguza corona kwa sababu wakati ule ndio corona inazidi kupamba moto Tanzania wagonjwa wakiongezeka na vifo pia na ndio kipindi hicho hicho ghafla tu serikali ikaamua kuacha kutoa takwimu za corona mara tunaambiwa wagonjwa wa corona wanapungua katika hivyo vituo na shughuli zinakaanza kufunguliwa.

Labda kiimani tuamini kilichopunguza ni maombi ila kisayansi sioni kilichopunguza corona.
 
Tulichukua hatua madhubuti sana,huwezi amini kuwa watu hata vijijini walijitahidi kunawa mikono,sehemu za ibada walitii mno pia vyombo vya usafiri.Hofu kubwa niliyonayo ni ya kujiona kuwa sisi ni wasafi mno mbele ya Mungu kuliko Kenya,South Africa na nchi nyingine.Imani imewaondolea wato uoga lakini hata wapiganaji wa Maji maji walikuwa na imani yao.As long as tuna majirani ambao wana ugonjwa na kwa kuwa tumekubali mipaka na anga kufunguliwa ni muhimu tahadhari za muhimu ikiwemo barakoa na kunawa mikono sitiliwe mkazo.
 
Hatuna usafi wowote kuzidi hao wanao tuzunguka, but lazima tu-appreciate kuwa viongozi wetu wamefanya kazi kubwa sana kutufikisha hapa tulipo. Walipokea kejeli za kila aina but walikaza msimamo wao wa kuhakikisha kuwa tunakwenda katika njia ambayo ni salama zaidi kwa upande wetu, otherwise inawezekana wangekuwa washatupoteza kwa kusikiliza miluzi mingi
 
Back
Top Bottom