Zitto wewe ni kibaraka wa CCM, hakuna siasa mpya utakazowaletea Watanzania

ACT ni CCM [C]. Yani kwenye haya magenge ya siasa, sioni Suluhu ya watanzania itatokea wapi yote yana wapigaji balaa.
 
Sabaya amebambikiwa kesi tu na aliyepanga kumuuwa akachiwa huru licha ya kwamba mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu!.

Sabaya kwa mujibu wa mahakama yuko huru ila bado yuko gerezani kwa maelekezo ya viongozi wa serikali.
 
Nitajie mwanasiasa ambae si kibaraka
 
Mchumia tumbo aliewaingiza kingi wapemba wafuasi wa maalimu bila kujua,sasa wanatumika vilivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…