CEO siyo lazima awe front wakati ndiye anayeshikiria fuko la hela.Hapo namtetea mzee wa bapa siyo selfish kabisa, angelikuwa selfish angekuwa agombea urais kila uchaguzi kama ilivyo kwa Lipumba na Maalim Seif.
Hapo namtetea Zitto, yeye ndiye aliyekataliwa na Chadema kwa sababu ya usaliti siyo kwamba yeye ndiye aliyewakataa.Too late....Kuna kitu anamaanisha katika haya Maneno yake ambacho Ni kinyume KBS na anachotaka tuamini. Zito huaminiki. Uliwakataa wenzio 2015 kipindi Cha ukawa Leo kitu Gani kinakusukuma hivi?
Mbona unawewesekaaa kijanaaa. Hakuna uchaguzi mwepesi saaana kwa ccm kama mwaka huuu. Mpaka sasa upinzani kwa vyama vyote hawana mgombea anayekubalikaaa. Wote ni hali taabaniii ndio maaanaaa mahangaiko ya kuomba kuuungana ila walau wapate hats diwani mumoja. Ndugu hata iwejee mwakaa huuu upinzani wanahali mbaya . kilichowaua ni serazao chafu za pinga na kubeza kila kituu . hiii itawamaliza saanaa. Muda utasemaWakiungana sawa.
Wasipoungana sawa.
Ninachotaka uchaguzi huu CCM wawe washindi wa tatu.
Mkuu, sera za ccm nikuendeleza yale mambo yote yalianzishwa na watangulizi sasa yeye ameunganisha wote kuanzi awamu ya kwanza hadi ya nne. Hapa ni kazi tuu, na kazi inaendeleaTangu mwaka 1961 inchi ni yenu Sasa naomba ututajie Nani hakufanya Mpaka mkapata raha? 😃
Membe asije chadema ila kwa upande wa bara mgombea uraisi awe Lisu visiwani Maalim seif,mapema tunaing`oa ccmZitto kama alikuwa na nia ya dhati basi angemshauri Membe aende CHADEMA!
Vijiji havitampigia kura. Asalimu amri tu kwa Dokta Magufuli kamanda wa kudhoofisha upinzani nchiniWazo zuri sema limekaa kimtego sana ,kwasasa lissu anasepa na vijiji sana Jasusi atakubali kumwaga manyanga?
Kwanini kipara kipya? hata huko si anaweza kumshauri asirudishe fomu.Zitto kama alikuwa na nia ya dhati basi angemshauri Membe aende CHADEMA!