Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
CEO siyo lazima awe front wakati ndiye anayeshikiria fuko la hela.Hapo namtetea mzee wa bapa siyo selfish kabisa, angelikuwa selfish angekuwa agombea urais kila uchaguzi kama ilivyo kwa Lipumba na Maalim Seif.
Kwanza alishagombea urais sasa kwanini agombee tena wakati snao watu wenye uwezo wa kufanya vizuri fuko likatuna kuliko yeye.
Au unadhani kugombea urais kupitia upinzani kuna raha yoyote ?