Uchaguzi 2020 Zitto Zuberi Kabwe: Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo na kila Kata

Uchaguzi 2020 Zitto Zuberi Kabwe: Watanzania hawatatusamehe tusipokuwa na mgombea mmoja wa Urais, mgombea mmoja kila Jimbo na kila Kata

Hapo namtetea mzee wa bapa siyo selfish kabisa, angelikuwa selfish angekuwa agombea urais kila uchaguzi kama ilivyo kwa Lipumba na Maalim Seif.
CEO siyo lazima awe front wakati ndiye anayeshikiria fuko la hela.

Kwanza alishagombea urais sasa kwanini agombee tena wakati snao watu wenye uwezo wa kufanya vizuri fuko likatuna kuliko yeye.

Au unadhani kugombea urais kupitia upinzani kuna raha yoyote ?
 
Too late....Kuna kitu anamaanisha katika haya Maneno yake ambacho Ni kinyume KBS na anachotaka tuamini. Zito huaminiki. Uliwakataa wenzio 2015 kipindi Cha ukawa Leo kitu Gani kinakusukuma hivi?
Hapo namtetea Zitto, yeye ndiye aliyekataliwa na Chadema kwa sababu ya usaliti siyo kwamba yeye ndiye aliyewakataa.
 
Wakiungana sawa.

Wasipoungana sawa.

Ninachotaka uchaguzi huu CCM wawe washindi wa tatu.
Mbona unawewesekaaa kijanaaa. Hakuna uchaguzi mwepesi saaana kwa ccm kama mwaka huuu. Mpaka sasa upinzani kwa vyama vyote hawana mgombea anayekubalikaaa. Wote ni hali taabaniii ndio maaanaaa mahangaiko ya kuomba kuuungana ila walau wapate hats diwani mumoja. Ndugu hata iwejee mwakaa huuu upinzani wanahali mbaya . kilichowaua ni serazao chafu za pinga na kubeza kila kituu . hiii itawamaliza saanaa. Muda utasema
 
Tangu mwaka 1961 inchi ni yenu Sasa naomba ututajie Nani hakufanya Mpaka mkapata raha? 😃
Mkuu, sera za ccm nikuendeleza yale mambo yote yalianzishwa na watangulizi sasa yeye ameunganisha wote kuanzi awamu ya kwanza hadi ya nne. Hapa ni kazi tuu, na kazi inaendelea
 
Zitto ameona Lissu anavyojaza watu huko anapopita sasa anataka na yeye afaidi kupitia jasho la wengine, hii kitu ya muungano kwangu naiona ngumu kuikubali, kila mmoja apambane kwa hali yake, wakati anaanzisha chama kuungana haikuwa moja ya agenda zake.
 
Wapinzania watanzania tatizo kubwa ni kuchelewa kwenda na muda,yani upinzani unataka kulazimisha kuufuata muda badala ya muda ndo uwafuate wao,hapa washachelewa sana na wakiungana kwa wakati huu ni hatari zaidi kwao.Chadema msithubutu katika hili,Zito ni mjanja sana.
 
Hahahaaa... mjanja sana Zitto, fikiria vile alivyo na tamaa ya uRais kwa nini hajataka kugombea dhidi ya JPM, anataka aibu hiyo ya October waigawane.
 
Zitto anajua chama chake hakina nguvu hasa hapa bara, na wagombea wa Udiwani na Ubunge wanabebwa pia na nguvu ya mgombea Urais.

Na kwa sasa kwa uwazi kabisa Lissu ana ushawishi zaidi kuliko wagombea wengine wa vyama vya upinzani akiwemo Membe(AcT)

Ndio maana ni yeye na chama chake ndio wanazungumza sana ushirikano kuliko wengine.

Ushirikiano utambeba zaidi yeye na chama chake. Kwa maoni yangu kila chama kishinde mechi zake.
 
Wazo zuri sema limekaa kimtego sana ,kwasasa lissu anasepa na vijiji sana Jasusi atakubali kumwaga manyanga?
Vijiji havitampigia kura. Asalimu amri tu kwa Dokta Magufuli kamanda wa kudhoofisha upinzani nchini
 
Back
Top Bottom