Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una roho ngumu sana, wewe hata motoni unaweza kuishi!Tulikua tunasubiri figisu za nec na ccm maana kimsingi ilikua Lissu akipitishwa basi membe harudishi form kwa hiyo saaizi ni kwamba membe hatafanya kampeni kujinadi yeye bali atamnadi Tundu Lissu.....
Wamecheza lkn bado wamefeeli
Muungano wa shetani huwa haudumuHilo halikubaliki kisheria kama hamjaungana. Kwa sasa hilo haliwezekani. Kinachowezekana kwa sasa ni kuachiana majimbo bila vyama kushare jukwaa moja.
Sisi Watanzania tulio wengi tunataka KAZI NA BATA hizi mbwembwe zingine tunajua haziwezi kuchomoaPendekezo la watanzania wengi ni kuona Membe akimpa support Lissu!! pia CDM nao kwa umoja wao wakimpa Support Maalim kule Zanzibar.
Zitto anachosema ni kweli tupu, hivi vyama maslahi sheeda. Chadema wanajiita permanent kambi ya upinzani bungeniZitto ana unafiki ndani yake. Ilitakiwa kabla ya wagombea wa vyama hawajapendekezwa ndio atoe hilo pendekezo lake lakini walikaa kimya. Muda wa kampeni umefika ndio anasema wapinzani waungane. Ni uhuni na ubinafsi ndani yake. Kuna game linataka kuchezwa hapa.
Twende na membe?Zitto anachosema ni kweli tupu, hivi vyama maslahi sheeda. Chadema wanajiita permanent kambi ya upinzani bungeni
CCM IIUpinzani twende na membe
CCM II
Lissu kwa maneno yake na vitendo vyake anashindana Magu na CCM kwa ujumla kwenye huu uchaguzi. Chadema wengine waliobaki wanapambana na ACT kuwa nani ni mpinzani zaidi ya mwenzake na ataunda kambi ya upinzani hiyo 2020. Patamu hapo. Yetu macho.
Atawatoa wapi, Wakati hata Mwenyewe anajijua Jimboni kwake amepoteza mvuto wa kiasiasaMbowe is very selfish.
But, too bad he's on a losing side.
Zitto hata akipata wabunge 5 ni hatua kubwa sana kwake.
Ili iweje?Ni wakati sasa wa ACT na Membe kutangaza kuunga juhudi za Lisu.
Tz tunatakiwa tubakie na vyama vifuatavyo; NCCR, ACT, CCM, na CDM.
Na itapendeza vyama hivyo vikiwa na nguvu zinazokaribiana.
Tukibakiwa na vyama viwili, siasa zetu zitakuwa kama za Zanzibar ambapo kuna mkwamo.
Nchi hii ni kubwa na ina watu wengi, hivyo inaweza ku-accomodate vyama zaidi ya viwili au vitatu vya siasa.
Yah.... I can imagineUna roho ngumu sana, wewe hata motoni unaweza kuishi!