Ziwa Nyasa limeporwa kikamilifu?

Hawa viumbe waone hivyo hivyo siyo wa kuwaonea huruma kabisa. Aslimia 80 ya watu walio rumande na jela ni matokeo ya dhuluma za Polisi
Hawa watu kama wewe unadai kuwa ni wabovu, basi sisi sote kwa ujumla wetu ndiyo wabovu. Hawawezi wao wakawa wabovu halafu sisi tukawa wazuri. Kama ni wabovu, si watakuwa walitokana na sisi? Sasa wanakuwaje wao wabovu halafu sisi tukawa wazuri? Unless kama labda walishushwa kutoka sayari nyingine
 
Kumbuka kuwa askari wetu walifyatua risasi ugenini,wakaleta taharuki kwa wenyeji.
 
Endelea kunibishia, Ila siku yakikupata dhidi ya vitendo vya dhuluma ndiyo utakumbuka Uzi huu.
 
Mmeanza kuteteana,hao Ni wahalifu wamekiuka Sheria za nchi na adhabu ndo hiyohiyo Tena wangeshitakiwa kwa kutumia gari ya serikali ambayo sisi watz tunakatwa Kodi,harafu mtu mmoja adai warudishwe kazini kimyakimya nadhani ulikuwa na mgao Kama wangempata waliyokuwa wanamfuatilua,tuache kuteteana kwa Mambo ambayo tayali wameshatoa adhabu.hata unadai aliuawa ukimaanisha Hamza,hata hao walioshiriki kuua nao wangeshitakiwa Sasa badala yake wanaopewa zawadi ya ushujaa Nani aliwaambia kuwa Hamza kuwa anaviashiria vya ugaidi?yote haya Ni kulindana ili asiwepo mtu wa kudai haki ya ndugu yake acheni kudanganyana nchii iko mbali sana watu walishasoma wanawaangalieni tu.
 
Lakini si mmepata vijisiwa vya Zanzibar ? Endeleni tuu kujikita na mambo yasio na tija i.e muungano. Mkijikita na mambo yasio na maana mtashtukia hata Kenya wameramba mlima wa Kilimanjaro. Vugu vugu la kiafrika ndio hilo faida zake .... 😉
 
Ni kweli suala hili si la kufumbia macho na Wizara husika ya kwanza ni ile ya Mambo ya Nje kushughulikia huo upotoshwaji. Aidha kuna ramani zinauzwa barabarani zenye upotoshwaji wa mipaka kama unavyodai. Hizo ramani zinatakiwa zipigwe marufuku na kukemewa kama ambavyo tunakemea raia akiamua kuvaa sare za jeshi au polisi! Ni kweli hii ndiyo hoja ya Uzalendo wala isichanganywe na polisi wetu kuvuka mpaka bila utaratibu. Tusichanganye hoja!
 
Lakini si mmepata vijisiwa vya Zanzibar ? Endeleni tuu kujikita na mambo yasio na tija i.e muungano. Mkijikita na mambo yasio na maana mtashtukia hata Kenya wameramba mlima wa Kilimanjaro. Vugu vugu la kiafrika ndio hilo faida zake .... 😉
Kuwa mzalendo
 
Asante kwa kuliona hili mkuu
 
Hili ziwa linaonekana Lina potential kubwa sana Mimi Ni mfuatiliaji mzuri wa billionaire wa Zimbabwe Strive Masiyiwa na sku moja almuuliza billionaire mmoja wakiwa ujerumani Ni fursa gani anaiona Africa yule billionaire alitaja ziwa Nyasa lina potential yakutengeneza billions of usd per year na wala sio kwa sababu ya uwepo wa madini yeyote statement ile ilimfanya strive kujiulza Ni Nini huyu jamaa kakiona ambacho Mimi skioni anyway ngoja nkuwekee mazungumzo yao nimecopy paste kwenye page yake fb


"Reflection:
Many years ago I was at a business conference in Germany, when I found myself speaking casually to one of the most brilliant industrialists of his generation: Juergen Schrempp, who ran Mercedes Benz.
On realizing that he had travelled in Africa, I asked him what was the most interesting [business] opportunity he had seen:
“Lake Malawi”, he replied without hesitation, before adding “what an amazing asset. They should be earning hundred billion a year from it already. It has nothing to do with any minerals.”

He said it with such passion, and then left.
I was deeply troubled in my spirit, as I wondered what he had seen.

What he said has always come to me, when I see a natural wonder in Africa:
I once flew in an aero plane at low altitude following the course of the Congo River. I had my hand held over my mouth all the way, totally stunned by what I was seeing—it’s majestic beauty!
“What an opportunity! Oh my goodness!” I kept shouting in wonder:
“Imagine what a generation of entrepreneurial leaders will one day do with this...”
#Perhaps you are the one?
I will know by the way you comment... if you will comment by complaining about the bad leaders you think exist, then it is not you!" Mwisho wa kunukuu Sasa wakuu ebu tujadili sote hapa Lina potential ipi au Ni mambo ya logistics??
 
Kwa jinsi dunia inakoelekea now,tunatakiwa kukuza jeshi.Tuwe na jeshi kubwa la kisasa.For the next 10 years ni muhimu kukuza jeshi la Tanzania.
Huenda post yangu ikaeleweka baadae sana after those 10 years.
Imeshaeleweka, umeona post za vyombo vya ulinzi na usalama zinataka watu wa skills zipi?
 
Achana na maramani hayo, nimetoka kuogelea jana tu na sikudaiwa viza ya kuingia malawi
 
Acheni tuliilinde nchi dhidi ya chadema hayo Mambo ya mipaka naona hayatuhusu.
 
Hiyo mipaka iliwekwa na Wajerumani na Waingereza....wakati wa mjerumani alipokuwa Malawi huo mpaka ulikuwa ufukweni mwa ardhi yetu Ila baada ya Mwingereza kutawala kotekote Malawi na Tanganyika mpaka ukawekwa katikati. Hili si suala la kuwa tuna jeshi Wala Nini. Mambo ya kidiplomasia yanajadiliwa na kutatuliwa kimataifa. Nguvu haisaidii kitu hapa
 
Unaweza uka
Pewa gari na ukaendesha kwenda nalo kila mahali lakini wewe siyo mmiliki wa gari mwenye kadi ndiye mmiliki.

Nenda kaogelee lakini mwenye umiliki wa mpaka ni mmalawi kulingana na hiyo ramani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…