Hili limesababishwa na uwepo wa Mvua nyingi kutokana na misimu ya Mvua nyingi kufuliliza nadhani toka 2018 mpaka leo tunashuhudia misimu ya mvua nyingi ila Ziwa victoria ni miongoni mwa maziwa machache yanayocontrol uwezo wake wa maji, kwani linapokea maji kutoka vyanzo mbali mbali ikiwemo mto kagera, mto mara n.k lakini pia maji yanayozidi yanaondoka kupitia Mto Nile hivyo ni suala la muda tuu yataludi kwenye uhalisia wake labda kama mvua zitaendelea kuwa katika kiwango cha juu
Huyo ni mropokaji achana naye! Domo halina break!Si tuliambiwa na Lisu kuwa Magufuli amekata miti milioni 3 kuchimba bwawa mvua hazitanyesha?
Halafu eti Miyalo! Basi kama alitaka kulazimisha wingi angesema Mialo!πππππMwalo hauna wingi mkuu. Eti miyalo daah
π€£ π€£ π π€£Mwalo hauna wingi mkuu. Eti miyalo daah