Ziwa Victoria limeongezeka, maji yamekuwa mengi sana

Ziwa Victoria limeongezeka, maji yamekuwa mengi sana

kadeti

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
1,115
Reaction score
1,105
Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine km

Apa mwanza Barabara inayopitia kwenye jiwe la Bismarck pamoja na ile bustani yote ipo ndani ya Maji, pili ukienda kule malaika hotel ilemela ile Barabara ya kuingia getini malaika hotel pia imefunikwa na maji...ukienda luchelele na sweya Nako ni balaa tupu....
 
1714941403598.png
 
Hili limesababishwa na uwepo wa Mvua nyingi kutokana na misimu ya Mvua nyingi kufuliliza nadhani toka 2018 mpaka leo tunashuhudia misimu ya mvua nyingi ila Ziwa victoria ni miongoni mwa maziwa machache yanayocontrol uwezo wake wa maji, kwani linapokea maji kutoka vyanzo mbali mbali ikiwemo mto kagera, mto mara n.k lakini pia maji yanayozidi yanaondoka kupitia Mto Nile hivyo ni suala la muda tuu yataludi kwenye uhalisia wake labda kama mvua zitaendelea kuwa katika kiwango cha juu
 
Si tuliambiwa na Lisu kuwa Magufuli amekata miti milioni 3 kuchimba bwawa mvua hazitanyesha?
 
Mi nafikiri kama tunakata miti michache ili tunusulu miti mingi halina shida hilo tatizo ni tunakata kwa sababu zipi? Kwa bwawa lile kuna kiwango cha matumizi ya kuni na mkaa kinaenda kupungua hivyo kuna kiwango cha miti kinaenda kunusurika
 
Back
Top Bottom