kadeti
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 1,115
- 1,105
Yasadikika ziwa Victoria limeongezeka maji, Kutokana na hizi Mvua za mfululizo, kudhiirisha ayo maeneo ya pembezoni mwa ziwa maharufu kwa jina la miyalo yote yamemezwa na maji na maeneo mengine km
Apa mwanza Barabara inayopitia kwenye jiwe la Bismarck pamoja na ile bustani yote ipo ndani ya Maji, pili ukienda kule malaika hotel ilemela ile Barabara ya kuingia getini malaika hotel pia imefunikwa na maji...ukienda luchelele na sweya Nako ni balaa tupu....