leodigardcyrilo
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 3,340
- 1,748
Haya yatakuwa ni maamuzi ya wachezaji lakini ukweli ni kwamba Madrid hata kipindi cha Zidane haikuwa kuwa stable
Zidane hakuwahi kubeba La Liga pamoja na kubeba CL..
Sent using Jamii Forums mobile app
tena uhakika mkubwa !
Wazungu hawana shukurani.Sijaelewa mantiki ya Zinedine Zidane kurudi tena kuifundisha Real Madrid.
Kipi kimemsibu Florentino Perez na menejimenti kiujumla??
Yote kwa Yote ilikuwa ni suala la muda jambo hili litimie,Natumai wachezaji na benchi zima la ufundi morali itarudi upya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea? Kwani epl ni mchezo pale ni mziki eti... Amuulize kloppDah Zidane amezingua kwakweli, Clubs nyingi Sana kubwa zilikua zinamtaka Ikiwemo Chelsea angejipa muda kidg tu angelamba shavu sehemu nzuri isiyo na presha km kwa Perez
Sent using Jamii Forums mobile app
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23]Ushauri wångu kwa zīdane ajipange tu hasije ķufukuzwaView attachment 1043358
Kwani Zidane hakuifundisha madrid na huyo paka mess wako hakuwepoUshauri wångu kwa zīdane ajipange tu hasije ķufukuzwaView attachment 1043358
Alijaribu kuvizia MANUTD na CHELSEA, wakamchunia! Abaki huko huko, England presha juu kila wakati!Chelsea? Kwani epl ni mchezo pale ni mziki eti... Amuulize klopp
Super hero daddy
Sio Gadiola??Chelsea? Kwani epl ni mchezo pale ni mziki eti... Amuulize klopp
Super hero daddy
We ni laliga ipi unazungumzia ambayo Zidane hakuchukua??Haya yatakuwa ni maamuzi ya wachezaji lakini ukweli ni kwamba Madrid hata kipindi cha Zidane haikuwa kuwa stable
Zidane hakuwahi kubeba La Liga pamoja na kubeba CL..
Sent using Jamii Forums mobile app
Makocha wa EPL huwa wana stress sana kutokana ni hiyo presha ya gameAlijaribu kuvizia MANUTD na CHELSEA, wakamchunia! Abaki huko huko, England presha juu kila wakati!
Watu mna roho ngumuZizou amefeli sana kukubali kurudi Madrid kwa mara ya pili.
Atafukuzwa msimu ujao unless labda kaitwa kujenga timu na sio kushindania ubingwa.
Yaap, hata ilivyochukua uefa ni kizari sana, kikosi kilikuwa cha kusukwa tena upya, la zidane kurudi, angeacha tu heshima aliyoijenga mara ya Kwanza otherwise watamtimua mapema sana,Haya yatakuwa ni maamuzi ya wachezaji lakini ukweli ni kwamba Madrid hata kipindi cha Zidane haikuwa kuwa stable
Zidane hakuwahi kubeba La Liga pamoja na kubeba CL..
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] una mikwara kweli bossUshauri wångu kwa zīdane ajipange tu hasije ķufukuzwaView attachment 1043358
Hahahaaa, eti kuvizia. Hivi kocha mwenye success kama Zidane ni wakuvizia timu? Baada ya kuondoka Madrid alisema anapumzika.Alijaribu kuvizia MANUTD na CHELSEA, wakamchunia! Abaki huko huko, England presha juu kila wakati!